Je Idara nyingine km ,AFYA,KILIMO & MIFUGO waliokua na tatizo kama Hilo wao HAWAGUSWI na huo mchakato wa mseleleko wa kila dishes madaraja?nafikiri waangaliwe wafanyakazi wote walioguswa kwenye hili
JAMAA ANAPIGA KAZI,,MUSOMA MJINI MAJI SAFI TELE TUNAKARIBIA 100%,,COVARAGE na ata Idara ya Maji safi na taka,,(muwasa)awasumbui kuvutiwa bomba km unaitaji,chap Maji yanaingia,,AWESO mchapakazi
Kwanza nichukue nafasi hii kukupongeza Mh.Rais Samia S,Hassan kwa kuyaona madudu katika miradi mingi inayofanyika mkoani mara na kuchukua hatua stahiki.
Katika maelezo ya mama na barua ilosainiwa na Jafar Haniu hiyo jana alielezea kuhusu barabara ya MUSOMA - MAKOJA umbali wa kama 5, mimi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.