Recent content by Mlolongo

  1. Mlolongo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Chief Mkwawa. Aisee Mimi na wife kwa pamoja tunayo kama 600,000/= tunataka kununua TV. Sababu: TV yetu Hisense 40" LED imeharibika na fundi kasema kubadili kioo 300k. Tumeamua tutafute TV mpya, iwe smart inchi 43. Kwahiyo bajeti yetu (kati ya Hisense na TCL) unashauri tupate ipi. Nimepita...
  2. Mlolongo

    Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme. Hivi ni ujinga au ushamba?

    Sasa blaza, Unaweza kutumia vifaa vya SA hapa Bongo. Maana South wanatumia plug za round hivi: Lakin Bongo tunatumia plug za square kama hivi: Huwa una solve vipi hii changamoto. Maana nina Microwave na jiko nataka nitoke navyo Cape Town kurudi Bongo, najiuliza adapter plugs za hizi vifaa...
  3. Mlolongo

    Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Wewe nae FALA kishenzi. Kwahiyo mahari hayana vents?
  4. Mlolongo

    Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    heeee, kumbe aliachiwa baada ya familia kulipa $ 1.5 ml kwa magufuli?
  5. Mlolongo

    Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

    Ulimaliza ujenzi. Umeme wiring jumla vifaa na ufundi ulicost milioni ngapi
  6. Mlolongo

    Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

    Ulifanikiwa kununua? Ulichukua ipi sasa Prius insight Vezel
  7. Mlolongo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Aisee Fiber ni noma. Unaweza jikuta week nzima inaisha upo ndani tu.
  8. Mlolongo

    Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Sasa mbona ulivotoka kwenye Carina ukaenda kwa "Buti la Jeje" kisha Foreste XT 2009?
  9. Mlolongo

    Majambazi yaua mtawa (Sister) mmoja kwa risasi Riverside, Ubungo....!

    Nasikia jamaa waliofanya uporaji siku hizi wana mkwanja mrefu kinoma
  10. Mlolongo

    Unga unamuharibu Albert Mangwea

    Acha uongo kaka. Mbona wabongo kibao hapa Mowbray Cape Town, mfano kina Hamad, Doja na Rasta Domi, wanatumia Meth na bado wanadunda.
  11. Mlolongo

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatuhitaji marekebisho yoyote. Timu imekamilika. Kushoto Rodrygo anatosha. Camavinga na Brahim wanatosha midfielder.
  12. Mlolongo

    Natoa huduma za Tour Guide Zanzibar

    Ulifanikiwa kwenda? Experience?
  13. Mlolongo

    Biashara ya kuuza maziwa fresh na mgando kwa Dar es Salaam

    Bado unafanya hii biashara ya maziwa mtindi? Utakua ushapata jina kubwa sana hapa mjini
Back
Top Bottom