Recent content by Mledi haswa

  1. M

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Nina rafiki yangu mmoja tulisoma pamoja sekondari, akafanya kazi baadae akajiajiri akawa anauza electronics akawa na mtaji zaid ya million 50, mambo yakageuka akaanza kuyumba baada ya kuchukua mkopo bank, alifanikiwa kumaliza japo kwa mbinde sana, mke alikimbia baada ya kuona jamaa anadondoka...
  2. M

    Nikimuangalia baba angu mdogo, miaka kadhaa nyuma, alikua tajiri kiasi chake, Leo Hana kitu, mlevi tu. Maisha haya, chunga sana

    Kuna time mambo yanatait unakosa kuweka hata hiyo akiba, business ikiamua kwenda chini unaweza sema dunia inakuangukia
  3. M

    Ninataka nikajaribu hustling Dodoma wakuu

    Naana watu wengi wanaochangia huu uzi hawaijui dodoma, niko hapa dodoma miaka zaidi ya saba, kama unataka kujitafuta sikushauri kabisa, tafuta miii inayochipukia uende huko, Tunduma, kahama, katoro, masasi, na kwengineko, hakuna msimu wa mavuno hapa, hakuna viwanda wala nn, just a salary city...
  4. M

    Natafuta gari mpya (Hiace) ya Mkataba

    Mimi nilikutana na 28% ya bank moja ya kiislam, sina hamu nao hao
  5. M

    Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Tatizo kubwa team imeingia vitu vitatu vibaya , siasa , usimba na uyanga , dodoma ni timu nzuri ila hujuma ziko ndani na viongozi ndo tatizo
  6. M

    Nahitaji Gari zifuatazo, kama unauza tuwasiliane

    Nahitaji body ya toyota coaster box au mayai isiwe fupi offer itategemea na ubora wa body.
  7. M

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Shukran, ntakucheki kwa hiyo namba, na engine ya toyota hiace 5l complete ina bei gani?
  8. M

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Brother nahitaji spoiler ya nyuma ya toyota rumion.
  9. M

    Betri Original ya Tecno C9

    Nenda carlcare service center, Itakucost kama 25,000 ila watakuwekea og, uhakika wao ni kwamba tatizo likijirudia unarudi tena, kioo kujibonyeza kwenye cm za tecno hiyo ni touch imekufa.
  10. M

    Nataka kuanzisha biashara ya simu kama za Makumbusho Mikoani

    Nairobi watu wana njia zao na mizigo mipya tunaiona sokoni kila leo
  11. M

    Banda la Chakula linauzwa

    Kodi hata kwa mwezi mmoja hua anapokea , ulinzi 5000 kwa mwezi
  12. M

    Banda la Chakula linauzwa

    500k ni pesa kubwa lakini hapana mkuu
  13. M

    Nataka kuanzisha biashara ya simu kama za Makumbusho Mikoani

    Nikupe mfano kwa mwanza kuna soko kubwa sana la simu used gorofa la sweet corner , hapa kila aina ya simu used utapata iPhone, Samsung, vivo, oppo,redme na takataka zote, hapa wanachukulia Nairobi na usafiri wa Nairobi na mwanza ni rahisi sana, profit yake ni kubwa mno tofaut na wanaouza sim za...
Back
Top Bottom