Recent content by Mlamba Mawingu

  1. Mlamba Mawingu

    Album ya 31 Harmonize Unavyozidi kuisikiliza Ndio unaielewa

    Humu ndani kuna vibao 14 na vingi ni moto kwangu mimi Mlamba Mawingu Kuna Ma Afrohouse humo, Bongo Fleva ila hii Loser aliomshirkikisha Sofiya Nzau ipo kwa repeat kwa sasa.
  2. Mlamba Mawingu

    Kwaherini JF

    Mlamba Mawingu nitakukumbuka sana
  3. Mlamba Mawingu

    Wazazi wanataka nijichanganye, wanahisi kuna jambo linanitatiza

    Kijana anahitaji ushauri kweli wanasaikolojia msaidieni na sio kumbeza
  4. Mlamba Mawingu

    Benki ya Dunia: Wanaotumia chini ya Tsh. 7,834 kwa siku ni maskini kupindukia

    Hata 60000 au 70000 maana si kila siku ila ni siku chache nakua siigusi
  5. Mlamba Mawingu

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Kujipooza tuu huu Mjohoro haujawahi kutosheka labda wako ndugu muandishi.
  6. Mlamba Mawingu

    Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

    Mimi kama Mlamba Mawingu hizi Shabiby semi Luxury za kubeba abiria 53 zitakua mbili tuu ila hii ya pili itabaki na siti chache maana huwa nawaweka katika kumbukumbu.
  7. Mlamba Mawingu

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Humu katika uzi ni kama tweeter au ("X") bila VPN
  8. Mlamba Mawingu

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kilikua kinywaji pendwa cha Mlamba Mawingu sijui kiko wapi sasa hivi
Back
Top Bottom