Recent content by Mlalamikaji daily

  1. Mlalamikaji daily

    Somo Toka Hukumu ya Tundu Lissu: CJ Masaju, Usiruhusu Mahakama Kutumika kama Tissue Kufutia Mananii ya Udhaifu wa Kisheria wa Serikali!, Ibananishe!

    Yaani ateuliwe halafu apingane na Boss? Ni sawa pale nyumbani kwako umwambie house girl wako apike ndizi Nyama halafu eti aamue kupika wali samaki.. Huwezi kumuelewa...
  2. Mlalamikaji daily

    KERO Mfumo wa ESS kwa watumishi

    unapanda daraja kwa kutumia score angalau 75 sio percentage... kama ulifikisha percentage 100 automatic ungekuwa na score 70 supervisor wako alitakiwa kufanya assesment kuongezea izo 30.. kwahiyo LIA na supervisor wako labda aliset indicators vibaya
  3. Mlalamikaji daily

    Tutafakari hiki kisa Kuna jambo la kujifunza

    Hapo zamani za kale kulikuwa na Kijiji kimoja kati kati ya msitu, Kijiji kilibarikiwa kuwa na kuku wengi sana wa kienyeji kuku watamu sanaaaa. Basi sifa za Kijiji kile zikaenea vijiji vya mbali mpaka huko mjini kuhusu utamu na uzuri wa wale kuku! Basi Majambazi ama tunaweza kusema majangili nao...
  4. Mlalamikaji daily

    Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Kwamba tufunge barabara kwasababu majambazi yatapita😅😅
  5. Mlalamikaji daily

    Mtoto wa Marehemu Kibonde aomba msaada wa Kisheria kuhusu mirathi ya baba yake

    Ogopa sana nchi ambayo Kipofu analipia kumuona daktari
  6. Mlalamikaji daily

    Mbunge wa IRAQ afichua mkopo wa dola milioni 191 kwa Tanzania uliotolewa na serikali iliyopita

    Sawa nchi zote zinakopa lakini ndio uende kukopa hadi IRAQ jamani
  7. Mlalamikaji daily

    KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

    Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
  8. Mlalamikaji daily

    Wema Sepeta acha usanii: IVF ni nini?

    Kwahiyo katumia AI kumbe
  9. Mlalamikaji daily

    Bima ya Maisha katika Mkopo wa Bank

    vipi kama alikopa kupitia mshahara bima inalipa bank baada ya muda gani?
  10. Mlalamikaji daily

    Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

    Kila ukidhani umeshaona "yote" mara unakutana na post kama hivi
  11. Mlalamikaji daily

    Kila nikianza ku "save" hela, matatizo ya kifamilia yananisonga. Nifanyeje?

    Kama una mzunguuko wa pesa tafuta kibati Cha watu wengi halafu weka Jina la mwisho..
Back
Top Bottom