Mkuu unazichukulia mbingu Kama makalio? Nguvu ya mbingu unaijua?Yani mbingu ziagize waunde serikali halafu kitokee kikwazo. Lazima utakuwa na Shida kichwani.
Una mawazo ya kizamani sana. Yani ujenge nyumba kijijini ikae tu Bure bila mtu ikisubiri kuoneshwa wakati wa misiba. Hiyo siyo Akili nzuri hata kidogo.
Lengo la huo mfumo wa kieletronic wa uhamisha halikuwa kuwarahisishia watumishi kuhama kama ma boss walivyoupigia debe.
Lengo halisi lilikuwa kuwafanya watumishi wasihame kirahisi ili wengi wabaki vituoni kwao. Wakikubaliwa kuhama kirahisi Kuna vituo, hasa vya vijijini vitakosa watumishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.