Recent content by Mkorosai

  1. M

    CHADEMA na CCM Mnaiharibu JamiiForums

    CCM tangu imeanzishwa inaogopa kupingwa, itafanya kila lilnalowezekana kuwanyamazisha wapinzani wake. kwa uhuru na msimamo wa Great thinkers, CCm inaamini kuwa Jamii Forum ni mpinzani wake kama ilivyo CHADEMA kwa hiyo iko kwenye list ya kuuawa kama vile ni chama cha upinzani!!! Makachero wake...
  2. M

    Tv sibuka kuonyesha mechi za ligi ya uingereza na ujerumani live!

    Mbona walisitisha vipindi vya dini lakini? They will be blessed if they continue to be attached with Religions hasa wakimtumainia Yesu kristo|
  3. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    anaulizwa swali kuhusu ufa wa katiba kuhusu muungano
  4. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    kweli kabisa
  5. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    kumbe alijua kuwa wajumbe wa NEC ni wachakachuaji!!!!! tuwaachie wanachama na wananchi wawazungumze wagombea, wazungumzie viongozi wao na mambo yanayo wahusu!! MAMBO YA KATIBA YAENDE KWA WANANCHI
  6. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    anasema ccm tuache mizengwe
  7. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    wanachama wa ccm watafanya makosa wakiwaachia kila kituy viongozi wao
  8. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    sasa anaambiwa na mwandishi wa habari ashauri chama kinachotawala
  9. M

    Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

    Nyerere, Baba wa taifa anahutubia waandishi wa Habari kwenye kipindi cha hotuba maridhawa Sibuka TV, anazungumzia mambo mengi muhimu ambayo leo yanalisumbua Taifa. Wanasema kipindi kitarudiwa kesho saa saba. Anazungumzia udini, ukabila, role of private sector in our nation economy na ushindani...
  10. M

    Vicky Kamata aokoka

    Lakini umeisha ona video ya wimbo huo? anavyokata mauno yake inaashiria kuokoka kweli??? wish her the best kama ameokoka lakini isije ikawa anataka kuwapoteza vijana wa kilokole!!!
  11. M

    Hashim Lundenga ni mbinafsi wa kutupwa

    Hashim Lundenga ameingia mkataba mpya na Vodacom na kulipwa zaidi ya milioni 200 kama malipo ya kununua shindano la Miss Tanzania liitwe Vodacom kuanzia ngazi za vitongoji hadi Taifa. Hivi sasa kuna mvutano mkubwa kati yake na waandaji wa mashindano hayo ngazi ya kanda na mikoa hasa wale wa...
  12. M

    Ccm na chadema, nani atatuangamiza katika hili??

    CCM watatuangamiza, wana uroho na uchu wa madaraka. Wakati wa uchaguzi mkuu hawakukubali kushindwa hasa kwenye nafasi ya urais, walichakachua wakang'ang'ania Ikulu hadi kikaeleweka kuwa wana uchu wa madaraka. Kwenye chaguzi za Mameya huko Arusha, Mwanza na Mbeya ndiko hasa walikodhihirisha uroho...
  13. M

    Mtanzania la leo 30/1/2010

    gazet la mtanzania na mengine yote yaliyo chini ya rostam hayafai kusomwa na Watanzania! hata wajikoshe namna gani hatuyanunui, hatuwezi kuendelea kumuongezea huyo fisadi fedha zetu. wanao anzisha thread za namna hii wanataka kukupandisha mori ili ilinunue gazeti lao!
  14. M

    Chadema hawajakiuka maadili?

    nawachukia sana wapuuzi wanaojitahidi kujenga dhana ya kuwakosananisha CHADEMA na waislam!!
  15. M

    Wazee wa Dar wasema Chadema waingepaswa kwenda mahakamani

    Hawa si ndio wale wazee walala hoi ambao siku ya idd wanazagaa kwa mengi, manji, rostam, bakharesa kuomba omba?? Jamani tusiwajadili sana hawa maana njaa ndizo zinawasumbua. Kumbuka DK. wa ukweli aliweka angalizo wakati wa kampeni kuwa "Mtaji mkubwa wa CCM ni umaskini na uelewa mdogo wa wananchi...
Back
Top Bottom