Recent content by Mkongwee

  1. Mkongwee

    Waandamanaji Amsterdam wavunja na kuingia katika eneo la ujenzi wa kituo kipya cha data cha Microsoft

    Ulaya kumechafuka muhuni Trump na mpuuzi Netanyahu wameharibu kila kitu
  2. Mkongwee

    Barack Obama: Donald Trump amechangia kuongezeka kwa Gharama za maisha Duniani

    Ajabu vijana wajuaji wa jamii forum humu watapinga hii
  3. Mkongwee

    Wahenga tukumbushane muziki wa kale

    Umeweka nyimbo moja ya mzee Bitchuka ya "siwazuri binadamu" Kiitikio " hana weeema usimuone kucheka oooooh, mtendeee la muhimu hatoridhika, apita akusalimu moyoni akasirikaa" Ndugu yangu hiyo nyimbo naitafuta original yake akiwa na kina Gurumo sio huo uliorudiwa.. Naukubali saaana...
  4. Mkongwee

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Nautafuta wa Remmy Ongala na bend yake ya Super Matimila nyimbo inaitwa Uzee " Nikikumbuka uzee silaaali ninabaki na mawazo huruuuma"
  5. Mkongwee

    Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

    Wafuasi wa wakoloni habari hizi hawataki kusikia wala kuamini, wao daima mkoloni ni mtu mwema na ndio kiigizo chao.... Kwa maovu waliyoyafanya hawa wakoloni wetu ipo siku yatawarudia maana ubaya una tabia ya kurudi ulipotoka
  6. Mkongwee

    Chanzo cha yanayoendelea Ufaransa ni hiki...!

    na Italy, Belgium, Colombia, Mexico, Spain, chanzo ni ninii?? Na yale ya kipindi ile Egypt, Tunisia, Libya na ya juz hapa Iran chanzo ilikua Nini??
  7. Mkongwee

    Vurugu ya middle east imekuwa kubwa sana

    Haya machafuko ya Russia Vs Ukraine Na Iran na maadui zake, yanafukua mengi ambayo zamani tulikua tukidanganywa Kabla ya vita kuna watu humu humu jamii forum ulikua huwaambiaa kitu kuhusu uwezo wa kijeshi wa America na Israel, huku wakikashifu kabisa uwezo wa Russia, China, Iran, North...
  8. Mkongwee

    Iran yatishia kuishambulia Israel Je wataweza?

    Muajemi akiahidi tuu utekelezaji unafata Hawajawahi kudanganya
  9. Mkongwee

    Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    Samahani ndg, vita kamili ni ipi na hiyo wanayotwangana ni vita ipi??
  10. Mkongwee

    Wanyonge wa Iran( Waarabu ) hatimaye wapatiwa silaha za kujilinda dhidi ya Iran

    Huyoo anaewalinda mwenyewe anabutuliwa vipi wanaolindwa
  11. Mkongwee

    Trump: Tunaendelea na Mazungumzo mazuri na Iran

    Vp kama Iran ingekuwa imepakana na Marekani, hali ingekuwaje kwa Marekani? au Iran angekuwa anapigana na Israel peke yake bila kusaidiwa na taifa lolote, hali ingekuwaje kwa Israel?
  12. Mkongwee

    Trump anajuta na kulia kuhusu Iran

    Msondo ngoma waliwahi kuimba " Ukiona mtu mzima.....analiaa mbeleee za watuuu ujuee kuna jamboooo"
  13. Mkongwee

    Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Hahahahahahaha mwamba ww una IQ kubwa saaana, ila shida una deal na watu wenye uelewa mdogo mnoo, ndo maana kuna wengine tayari wameshahusisha dini kwenye andiko lakoo, unapoteza muda tuu kuwaelimisha
  14. Mkongwee

    Iran inawezaje kufanya haya

    Uko sahihi Kwa kukazia tuu, wabongo wengi imani za kidini zimewafanya wamekuwa wajinga, ndo maana wengine wanatapeliwa kwa kutajiwa neno dini au Mungu Vita ni uchumi, watu au mataifa yanaingia vitani kwa ajili ya maslahi yao ya kiuchumi, ila huku kwenye walevi wa kidini wao chapchap...
Back
Top Bottom