Recent content by mkimbili manyovu

  1. mkimbili manyovu

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Sasa unakazia unataka tukupe hongera au, wanaharakati walisema wengi tu. Tulia bana watu wanawaza mengine ww nilisema nilisema so what?.
  2. mkimbili manyovu

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Eeeh Mungu mjalie Tundu Lisu ushindi na aibu ikawe juu yao na vizazi vyao watesi wake.
  3. mkimbili manyovu

    Wazamiaji SGR Business Class tujuane!

    Mtoa mada amepata majibu nadhani hatarudia wakuu.
  4. mkimbili manyovu

    Ufafanuzi Juu ya Uhamisho kutoka Halmashaur kwenda Taasisi za Elimu za Juu

    Kuona kwenye system gani? wakati unasema hutaki kupitia ESS.
  5. mkimbili manyovu

    Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

    Unaona unajua kuchambua mambo? Eti ulisema hayatafanikiwa unakuja na tuhoja twako eti hayakufanikiwa. Ubishi tu hata huna haya. Nonsense
  6. mkimbili manyovu

    Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Eeeh Mungu lisaindie taifa letu mabadiliko mema yatokee.
  7. mkimbili manyovu

    Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Mm iliniuma kutumia Million 2.3. Kuomba michango unakuwa kama omba omba Kwa kwel hali ilinishida.
Back
Top Bottom