Recent content by Mkandara

  1. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Labda unasema kweli lakini mimi nawasoma soma humu JF hata wakati sipo. Na kuna ile Sauti ya Wananchi nilikuwa naifuatilia sana lakini sikuzungumza lolote.. Yaani nilishuhudia Ubaya Ubwela, kila siku ni kutafuta mbinu za kumalizana ndani ya Chama, kisha ikageukia kwa Samia yaani alipigwa...
  2. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Swala.sio.mimi naona nini kwa sababu suo Mwanasheria. Ila nishasema kwangu mimi Kisiasa, Tubdu Lissu hakupaswa kusema maneno yale. Chadema ni chama cha Siasa registred sio TANU ya kina Nyerere kabla haiwaja Chama cha Siasa au ANC ya South kabla hawajaruhusiwa kugoombea kama Chama cha Siasa...
  3. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Sasa jwuri hii ndio.inawatafuta nyie wenyewe. Yaani mke kakukimbia unaanza kusema kama anataka kurudi aje yeye, wakati wewe ukame unakumaliza. 🤭🤭🤭
  4. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Hapana naelewa sana mfumo wa Uchaguzi kuwa ni mbovu lakini ni Afrika nzima na hakuna mbadala ila kuhakikisha wananchi zaidi ya asilimia 80 wanamchagua kiongozi wa Upinzani. Hapo hata kuiba na kuchakachua haiwezekani wataumbuka wao. Usitegemee tunaweza.kuwa na Tume huru ikiwa kila Mtanzania ana...
  5. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Kwa Mbowe hawawezi, inawatafuna sana rohoni kwa sababu wanaogopa pengine January 2030 atarudi kugombea Uenyekiti. Hizi hofu zao ndio Imefanya Chadema mpaka leo hawana vikao kupanga mikakati ya Chama. Tutawasaidia vipi? Wqache kwanza kuogopa kivuli chao wenyewe, wajirudi na kusameheana, waombane...
  6. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Well, inawezekana wewe unampima lNdejembi wa eo hii na Lissu lakini kila mtu ana mtazamo wake. Subiri hiyo 2030 halafu utanambia. CCM wanajua kucheza na akili za watu, nyie mmekalia Siasa za HAKI wakati Wananchi hali zao taabani zinazidi kuwa mbaya. Amini maneno yangu Ndejembi kama wataendelea...
  7. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Kusema rahusu sana,.lakini sisi wentine tunasoma Hali ya hewa. Na ujue tu wapiga kura ni Wananchi waishio Tanzania sio Wanachama ama wanaharakati ambao hawaishi Tanzania. Nyie endeleeni na ndoto hii wakati wenzenu wanapiga hela! Kama mnategrma Samia ataondolewa Madarakani, basi mtasubiri sana...
  8. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Mkuu tusitake kudanganyana wakati tunaiona Hali ya hewa. Ndejembi kahusikaje na Mauaji? Unawezaje waambia Wananchi kwamba kahusika. Ebu tembelea ziara zake huko mikoani halafu nambie hao watu utawaambia nini kuhusu Ndejembi? Yaani Tundu Lissu hana nafasi kabisa ya kuwa mshindani mkubwa wa...
  9. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Yote yanawezekana, Ndejembi anajengwa ana muda wa kwenda vijijini kupeleka maendeleo, kutatua shida za Wananchi. Yaani CCM sasa hivi wanatumia Magufulification kuchota nyoyo za watu. Tundu Lissu alikosa nafasi ya wazi kabisa 2025 wakati CCM imesambaratika, hawezi mshinda Ndejembi 2030. Believe...
  10. M

    Swali Nyeti: Tuisaidie Vipi CHADEMA Kuelekea 2030?

    Mkuu ni vigumu kuisaida Chadema hapa ilipofika. Nasema haya kwa moyo mweupe kabisa kwa sababu CCM tayari wanamuandaa Ndejembi kuchukua 2030 na ana muda mzuri na mrefu wa kujenga jina lake. Kijana yuko vizuri na namuona akijiongezea Umaarufu. Kufikia 2030, Sioni Chadema inawezaje kushindwa...
  11. M

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Hii sii mifano mizuri ya kulinganishwa na hili la Tundu Lissu na Mbowe.,awa walikuwa wamoja mpaka siku ya Uchaguzi ndio madudu yakaanza. Unless kulikuwa na beef la kupinduana toka siku nyingi sisi hatujui.
  12. M

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Daaah ama kweli mbishi. Yaani niseme hivi unatumua dhana zaidi ya Uhalisia. Yaani rais aendele Naitobi na katima safari zake aende kumtrmbrlea Lissu nasema haiiuwa.moangi wake? Unaujua protokali za Serikali au unasema tu ili mtadi kumsafisha? Hata mimi nikija Tz nikakutafuta kukuona ina maana...
  13. M

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Bro achana na mimi deal na hoja, sijakutaja na sitokutaja zungumzia hoja tu. Kwa taarifa Mkopo ni msaada na zaidi hapo Chadema haikuanza 2015, hata sisi tunapokopa kama nchi inaitwa msaada (Aid) na kama kweli waliona ni riba kubwa kwa nini wasiende kukopa Benki? Mkuu hakuna asojua Stahiki za...
  14. M

    Godbless Charles: Freeman Mbowe na swali la utu: Je, tofauti za kisiasa zinapaswa kututenganisha hata katika nyakati za majonzi?

    Nasimamia UKWELI maadam hakuna niloandika ni UONGO isipokuwa watu wanatafuta kumpamba Tundu Lissu kama Nabii fulani kumbe ana madudu makubwa ya kutia wasiwasi Ambayo wanachama wameghiribiwa ati sio Makosa ni kawaida tu. Narudia tena kusema Simkubali Tundu Lissu kama Kiongozi wa Chama, abakie...
Back
Top Bottom