Recent content by Mkaka mweupe

  1. Mkaka mweupe

    Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

    Wakuu naomba kujua mshahara wa clinical officer wa jeshi la polisi
  2. Mkaka mweupe

    Salary scale ya PMGSS ni sawa na kiasi gani kwa Shilingi ya Tanzania?

    Pmgss 4.1 ni 1,155,000/= mshahara wa diploma za afya.
  3. Mkaka mweupe

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Azam tv Burudani kwa woteeeee Endelea kuteseka.
  4. Mkaka mweupe

    Kudhibiti rushwa katika mchakato wa kupandisha vyeo ni muhimu kwa kuimarisha utendaji wa watumishi

    Na ukabila. Kuna baadhi ya makabila yakishika uongozi lazima atafanya upendeleo wa kabila lake haswa watu wa kaskazini na kanda ya ziwa.
  5. Mkaka mweupe

    Sheikh asema kubinafsisha bandari ni haramu na haifai kabisa

    Hamna hoja hapo. Ningekuwa karibu nae ningemchapa kibao kimoja kwanza akili imkae sawa.
  6. Mkaka mweupe

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    kuna watu walifanya interview MDa&lga wamepangiwa kwenye taasisi nyingine
  7. Mkaka mweupe

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Electrical wanatoa kidogo kidogo mpaka sasa kuna nafasi kama nne tayari wamepangiwa kazi
  8. Mkaka mweupe

    Serikali yafanya ubaguzi kwenye nyongeza ya mshahara

    Alitaka na hili waanze kumuandama Raisi.
  9. Mkaka mweupe

    Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

    NI kweli haya mambo nasikia mulikuwa mnafundishwa kanisani kabisa kuchukua waislam
Back
Top Bottom