Malezi yanaanzia nyumbani.Mtoto akienda shule anakamilisha kile kilichoandaliwa nyumbani.Tusema Tu ukweli wazazi wengi sasa wamesahau swala la malezi wanachojua wao ni kutafuta pesa Tu.
Anadhani akishampa Mtoto pesa ya matumizi ndo kamaliza kulea.Wanasahau malezi hayaishii hapo.Hizi shule za...
Maoni yangu hapa Kila mtu awe na Uhuru wa kuzaa watoto anaoweza kuwahudumia.
Katika vitu ambavyo sivipendi ni mzazi kuzaa watoto wengi halafu first born na wenzake wanapewa majukumu ya kuwahudumia wadogo zao.Jukumu la wazazi wanapewa watoto.Kama wazazi hawapo ni Sawa,au hao wazaliwa wa Kwanza...
Kila kitu kinatakiwa kwa kiasi Ili kisilete madhara makubwa.Kwa watoto wanaosoma shule za private kidogo NI rahisi kufuta hizo fimbo.Manake Mtoto akienda ndivyo sivyo wao ni rahisi Tu kumtimuaMtoto au suspension.Huku katani huku process za kumfukuza mwanafunzi ni ndefu Sana.So kiboko huku ndo...
Kuna mmoja alikua akiingia darasani anasemia "Leo ntawachapa Hadi muombe ardhi ipasuke muingie" Hii kauli ilikua inaniliza kabla hata sijachapwa nawaza ardhi ikipasuka nn kitatokea.
Hivi vitu wala havihitaji uchumi mkubwa.Kuna kipindi ofisini watu kama Saba tulikua kwenye challenge ya diet.Tulikua tunaweza nunua ndizi mzuzu za 6000,mbogamboga za 3000 na mayai Kila mtu moja.Tunakula tunashiba siku nzima mpk jioni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.