Recent content by mk007

  1. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lini walimfunga Arsenal 3, umechanganya ni Brighton
  2. M

    SI KWELI Utumishi Yatangaza Mabadiliko Makubwa Ajira Portal: Kiapo (Affidavit) Kufutwa Rasmi?

    Juma Seleman Mkomi ni Katibu Mkuu OR-Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Katibu wa Sekretarieti ya ajira ni Bw. Hamis Abdallah Mkunga Kwa mantiki hii nasadiki kuamini kuwa tangazo ni feki Na kinacholengwa mtu akipiga hizo simu ndio mwanzo wa kutapeliwa
  3. M

    Kwanini Messi anachukiwa sana, aliwakosea nini wanadamu? Je, chanzo ni kipaji chake au kuna jingine?

    Mashabiki wengi wanaomchukia Messi ni wale Man Utd,Real Madrid na wapenzi wa Ronaldo. Na hii ndio chuki yenyewe sasa, unapata faraja gani kutunga uongo. Hizo dharau unazosema Messi anazifanyia wapi ?
  4. M

    Maafisa misitu 2 wahukumiwa kifungo cha miaka miwili jela au kulipa faini ya shilingi laki tano kila mmoja kwa Ruswa ya milioni 8

    Hakimu angekua na lengo la kuwasaidia wangeshinda kesi. Kwa hukumi hiyo kinachpfuata ni kufukuzwa kazi, kwa mantiki hiyo hakimi hajawaokoa labda wakate rufaa then washinde.
  5. M

    Dkt. Slaa yuko wapi?

    Unataka akiongea useme ana ubaguzi. Amekaa kimya unataka ujue yuko wapi
  6. M

    Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre

    Huo ni udhaifu wa binadamu husika. Hata huko kwenye imani nyingine ambazo viongozi wanaoa napo wapo wenye wanawake nje ya ndoa zao na hata watoto wa nje
  7. M

    Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

    Atapaka vix aisee, hata ingekua wewe unaachaje bikra 72 mwamba lazima apake vix. Jumlisha mito ya pombe sasa hivi anagida tu.
  8. M

    Unachokitafuta kwa mchepuko,kuna mwanaume anakipata kwa mkeo

    Ndio, hivyo hakuna jipya chini ya jua
  9. M

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Weka 10,000,000 upate milioni 50,000,000 uache kusumbu watu.
  10. M

    Je dini zitaeweza kuhimili maendeleo ya teknolojia?

    Kwani kuna sehemu Dini inabadilika ? Wanaobadirika ni watu.
Back
Top Bottom