kamdomo kamdomo, kama unapenda kazi usisubiri upewe nenda kawaombe wakubwa wako kujifunza hata kujua izo report wanazomalizia, baadhi ya maeneo usipojiongeza utaona tabu na hata posho zinazohusiana na baadhi ya majukumu utazisikia tu
Nmejaribu mara mbili, mara ya kwanza nikiwa na miezi 7 kazini sikuomba ruhusa popote nikafika oral kabisa na nikaifanya ila sikuitwa, mwaka huu pia nmeenda taasisi ingine tena kufanya usaili mwezi wa nane nikafika oral ila mpaka sasa sijaitwa.
Kikubwa ni kwamba ukiwa mtumishi wanahitaji uwe na...
Mkuu shida niliyoiona ni kwamba kuna baadhi ya watu wamekamilisha muda wa makubaliano ya kukatwa kiasi fulani kwenye mishaha yao, wanalalamika kwamba hawapewi hizo fedha kwa mkupuo na ile faida hawapati na kuna usumbufu mkubwa wa kupata izo fedha, ndio maana nikaja kwenu kuuliza zaidi...
Habari wadau, mimi ni mtumishi wa umma nilijiunga na NIC miezi 10 iliyopota walipotutembelea ofisini kwetu na kutueleza aina mbali mbali za bima na faida zake.
Kilichonileta hapa kwenu ni kuuliza je ni kweli wanatoa faida kama wanavyosema? Nmepata nafasi ya kuangalia reviews za watu mtandaoni...
mm nilikutana na kitu kama hiki ila nikaona isiwe tabu nikaenda kufanya usaili Taasisi B waliniita usaili mda huo namiezi mitatu tamisemi, nilifanikiwa kupita usaili wa written na nikaenda kufanya oral pia lakin majibu yalivyotoa sikuitwa kazini, so maybe ni kweli ukipata kazi huwezi pangiwa...
kama
unaweza tusaidia maelezo zaidi itatufaa ndugu, inawezekanaje, wengine tupo tamisemi hata bado hatujathibitishwa ila kuna nafasi kwenye taasisi za umma zinatangazwa na zinamasilahi mazuri tunashinddwa kwenda kufanya usaili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.