Recent content by mjeledi

  1. mjeledi

    walimu wapya wata ajiriwa lini?

    Subiri uchaguzi Igunga uishe.
  2. mjeledi

    Tanesco mwanza hawakumwelewa Ngeleja.

    Kabla ya kauli ya Ngeleja kuhusu kupungua Kwa mgawo wa umeme,wakazi wa bwiru tulikuwa twatendewa haki sana. Ila baada tu ya kauli ya ngeleja makali ya mgawo yamezidi na sasa twapata umeme kwa usiku kuanzia saa 4 na kuzimwa saa 12 asubuhi. Mathalani,jana umeme umekatwa saa 12 na ukarudi saa 9...
  3. mjeledi

    Kikwete 'jino kwa jino' na Lowassa

    lowassa kaisha.
  4. mjeledi

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    mafisadi wamekamata uchumi wa nchi na watatupeleka kubaya kwa njaa zetu. uvccm wamegawanywa kimakundi na huu utakuwa mwisho wao kama hawatakuwa makini
  5. mjeledi

    NSSF kutumia Tsh 400 bil kuzalisha megawati 300: Yajitahidi kuchukua KIWIRA

    na uje huo umeme kwani mgao unaumiza sana uchumi.mipango ya muda mrefu ndiio itatoa ufumbuzi wa kudumu wa tatizo hili
  6. mjeledi

    Kikwete apoza mashirika ya dini

    kufanya hivyo ni kupoza au ndio kutimiza wajibu wake kama Rais wa nchi? :juggle:
  7. mjeledi

    asalam alaykum

    wakuu mbarikiwe sana kwa kunifungulia mlango
  8. mjeledi

    asalam alaykum

    watakuwa wamechakachua avatar yangu.
  9. mjeledi

    asalam alaykum

    wakubwa napiga hodi nyuma hii.
Back
Top Bottom