Kwenye STAMP za TRA, kampuni ya sigara ilikuwa inalipa $4 kwa kila stamps 1000, Waswizi wa Mkwe wa JK(SICPA) wakapaisha bei kwa 500% hadi $20! Wanakusanya bilioni 120 kila mwaka za kwao kwa kuwekeza bilioni 27! Nchi hii imejaa vituko! Tangu 2018 wamekusanya 960b mtaji wa 27b!
Nchi hii tunapitia mengi sana , asubuhi mapema kabisa wamekata umeme halafu ikifika saa sita mchana hivi wanapita Fire, Kajenjere, Halmashauri wanataka mbesaaa sio maelezo na ukisema huna unapakiwa gari la Taka unapelekwa manisapaa kulipa na faini. Maisha sio lele leleee pambaneni vijana
Wiki iliyopita tulipata shida sana kununua umeme nikajikuta nimenunua umeme wa 90,000 , Leo narudi nyumbani nasikia Meter inapiga kelele kwamba Umeme wa 90,000 umeisha ndani ya 1 week.
Tanesco this is very good work, keep up guys , tujenge nchi yetu!!
Nimeenda Msamvu pale, kuingia ni Tsh 300 unapewa tiketi, nimefika pale kwenye kigeti maza anayezikusanya tiketi anataka aipokee ampe mtu mwingine alikuwa kasimama pembeni kule aingie nayo.
No way nimeivuta nikaichana mbele yake. Kaishia kuniangalia na mimi nikasepa zangu
Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
Sekeseke limewakumba madereva wanaopaki malori eneo la Kurasini baada ya kutakiwa kuondoa magari yao maeneo ya maegesho baada ya kuchukuliwa na mwekezaji.
Madereva hao wameambiwa na mtumishi wa Bandari kua “toeni magari yenu ama tuwapasue vichwa”.
Bado mpaka sasa madereva hao hawajajua...
CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.