Recent content by minye

  1. M

    Govt advised to establish credit rating bureau

    Who are beneficiaries of credit rating? the poor or rich? Credit ratings do not measure performance factors, such as market value or price fluctuations, and they do not address, explicitly or implicitly, whether: Investors should buy, sell, or hold rated securities A particular rated...
  2. M

    Bail out: What does it mean?

    Simple language; to help a person or an entity that is in difficulty.Mara nyingi hutumika katika masuala ya biashara, fedha na uchumi hasa pale zinapoonekana kufanya vibaya (usually by giving or lending them money). Mfano mzuri ni USA wakati wa financial crisis ambapo Obama alitoa fedha kwa...
  3. M

    Hoja za Profesa Palamagamba Kabudi...

    Ntambaswala: Katika kipindi hicho pia alikuwepo Dr Kamala, duu jamaa alishindwa kabisa kujenga hoja, kama huyu ndiye anakaa na akina Wetangula katika majadiliano basi Tz tujue hatuna mtu. Hoja zake siku zote ni dhaifu, hana sauti ya mamlaka, kiingereza chake ni finyu n.k. Hata ukilinganisha...
  4. M

    Hoja za Profesa Palamagamba Kabudi...

    NtambaswalaKatika kipindi hicho pia alikuwepo Dr Kamala, duu jamaa alishindwa kabisa kujenga hoja, kama huyu ndiye anakaa na akina Wetangula katika majadiliano basi Tz tujue hatuna mtu. Hoja zake siku zote ni dhaifu, hana sauti ya mamlaka, kiingereza chake ni finyu n.k. Hata ukilinganisha...
  5. M

    GE2010 Mtikila: Viongozi wa dini wanafiki

    Hapa Mtikila kagonga. Wacha waseme lakini ujumbe wameupata. Walau Kakobe aliendesha elimu ya uraia na haki ya kupiga kura.
  6. M

    Nchi za magharibi zimefurahi Dr Slaa kushindwa

    Kwa taarifa yako nchi za Magharibi zinataka Afrika iamke haraka sana iondokane na umaskini kusudi isiendelee kutumiwa na CHINA. Hii dhana kuwa nchi za magharibi zanapenda Africa iendelee unaitoa wapi? Unadhani vijimisada vinavyoletwa Tz vinalenga Tz kuendelea? Pipi hizo ndugu yangu...
  7. M

    Neno La Leo: Mwadhama Kardinali Pengo, Nina Nyongeza Ya Neno

    Maggid Mjengwa! Kwanza kabisa napenda kupiga hodi JF. Sina uhakika kama neno AMANI linatamkwa baada ya kuchanganua na kujiridhisha na chembechembe zake. Hatuhitaji kwenda shule ili tuweze kutambua kuwa nchi yetu haina amani au la. Kwanini ujenge nyumba yenye mageti saba? kwa nini mbwa? kwa...
Back
Top Bottom