Recent content by milkfish

  1. M

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Kureshi Ufunguo 'injinia', Jobe Ayoub 'kwasakwasa', Mtwa Kihwelo 'dally kimoko', Jamhuri Kihwelo 'mrema', Mussa Kihwelo 'super', Raphael Paul 'rp', Juma Amir 'pele', Adolf Kondo 'mzungu', Edward Chumila 'edo boy', John Makelele 'zigzag', Iddi Pazi 'father', Selestin Mbunga 'sikinde', Ubwa Makame...
  2. M

    TANZIA: Mwanasoka wa zamani Zuberi Magoha afariki dunia

    Huyu mtu anakumbukwa vizuri kwenye kikosi cha Simba kilichoipiga Al Ahly (National) pale kirumba 2-1 kwa magoli ya Zamoyoni Mogella na Mtemi Ramadhani. Kikosi kilikuwa na Mose Mkandawile, Musa Kihwelo "super", Talib Hilal, Thobias Nkoma, Athuman Maulid "big man", Ramadhani Lenny "Abega", Sunday...
  3. M

    Je, wajua? - Special Thread

    Ya mwisho itaitwa infinilion sababu ukitaka kuandika sifuri mpaka mwisho hautaweza na sifuri 300 za bongo ni tofauti sana na sifuri 50 za America.
  4. M

    Watanzania waliosoma Havard

    Prof. Ishumi wa UDSM na mtu mmoja anaitwa Dr. Ramadhani Mwiru.
  5. M

    Yupo wapi Prof. Ludigo?

    Ludigo ni producer mkali sana, bado ana ukaribu sana na Mkoloni na Dan msimamo, mara ya mwisho nilionana nae Korogwe kwenye msiba wa mzee mmoja pale mgombezi. Sasa yupo Dodoma anafanya biashara zake.
  6. M

    Mwigulu: Mimi ni Nyerere

    Labda alimaanisha nyenyere (sisimizi pia huitwa nyenyere)
  7. M

    Kafulila na Halima Mdee kuwasha "Moto" Temeke

    NLD imeshinda nafasi kadhaa za uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa huko Masasi - Mtwara.
  8. M

    Describe your ex using movie titles

    Snakes on the plane
  9. M

    Queen darleen

    Asante wakuu kwa kuniongezea kitu leo, vipi wale watoto wa dc kipozi (rahma, radhia na mdogo wao) aliwakuta au?
  10. M

    Queen darleen

    Habari wanajf, leo nilibahatika kuangali EATV kipindi kinaitwa 5 selekt (siyo select). Msanii Queen darleen alikuwa studio anahojiwa, aliulizwa ni msanii gani alimvutia kuingia kwenye muziki (inspirational artist or role model). Akajibu kuwa nje ya nchi ni EVE lakini hapa bongo alisema hakuna...
Back
Top Bottom