Salaam,
Naomba kujua fundi mzuri wa LG nina simu yangu aina ya LG G4 ilianza tatizo la kuzima ghafla na kuchukua mda mrefu kuwaka.
Ikiwaka ukiingia kwenye programu yoyote inazima tena na kuchukua mda mrefu sana.
Nikaipeleka kwa mafundi simu wale waliopo IPS Building sasa wamehamia jengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.