Nchi kama China,Japan,Nepal Malysia na zingine zote zilizoko mashariki ya mbali uwa wanajifunza jinsi ya kutoa maoni kwenye jamii,kuongea kwa adabu.Tatizo kubwa ninaloliona hapa Tanzania ni ukosefu wa malezi,unapotaka kuajibu au kutoa maoni ni lazima uwe na adabu,heshima na maono ya...