Recent content by Mikefe

  1. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Manatakiwa kumwambia katibu wenu mkuu kuhusu condom,asije akaangamia kuvizia wake za watu na malaya wa PIMP Mbowe.
  2. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Kwa nini aendelee kuwa kwenye dampo la CCM,sasa hivi mshaanza kufanya dili na matunda sumu amabayo tunaka kuyaanagamiza.Kwa sababu nyie ni dampo mna kemikali za kusafisaha ili myale,lakini hayatafaa kwa nchi yetu tukufu.Hatutaki turudi nyuma ,daima mbele,CCM hoyee.
  3. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Nakaaya Sumari amerudisha kadi ya Chadema jioni ya leo na kumkabidhi JK kwenye mkutano wake ulio fanyika leo mkoani Arusha, JK amempongeza sana kwa kitendo hicho na kumwambia karibu mama CCM ndicho chama pekee Tanzania.
  4. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Mukama ,juu,juu,juu zaidi.Nape Hoyeeee!!!!.
  5. M

    GE2010 Nakaaya arudisha kadi ya CHADEMA

    Atii nini chama kisichojali masalahi ya taifa zaidi ya uvunjaji wa sheria.Upinzani si kuuana ni kuwa na chaguo ni vipi tuendeleze nchi yetu.CDM imefanya upinzani ni kuuana kwa sababu uchoyo wa viongozi wao wa ngazi za juu ambao ni wachoyo na wanachotaka ni kuingia Ikulu ili kupooza kiu chao.
  6. M

    Habari na Picha Nape, Mwigulu ziarani Sumbawanga

    Wapinzani wengine wameheshimu demokrasia na CCM inaheshimu pia,CDM imeamua kufanya fujo tutapambana mpaka mjifunze na kujua maana ya demokrasia ni nini.
  7. M

    Habari na Picha Nape, Mwigulu ziarani Sumbawanga

    Wamekosea sana,Tanzania inaserikali moja tu,serikali iliyoundwa na CCM.Wapiga kura wameipa CCm majukumu ya kuongoza nchi katika matawi yote ya serikali,CCM imeshinda uraisi,ubunge kwa hiyo inahiari ya kuwashirikisha wapinzani au kufanya kila kitu bila ya kushirikiana.Lakini ilichagua...
  8. M

    Lema alimpua Meya wa Arusha

    na kama mtekelezaji hatekelezi inavyotakiwa sehemu pekee ambayo una window wa kumrekebisha ni bunge peke yake.Kwenye bunge unaweza kupeleka hoja yoyote kulalamikia utekelezaji wa demokrasi ,kama una wawakilishi wa kutosha hoja yako itapita,kama haitapita na wanainchi wameona unaweza kutumia kama...
  9. M

    Lema alimpua Meya wa Arusha

    CDM ndio inayojiaibisha kwa sababu hawajui maana ya demokrasia.Kama wanajua hawataki kufuata misingi yake.Hasa kwenye utekelezaji.Kwenye process hamna choice lazima mfuate.Mnatakiwa kujua uchaguzi ukiisha mtekelezaji wa demokrasia ni mshindi.Mshindwa anasubiri process ijayo.Usiposubiri...
  10. M

    Lema alimpua Meya wa Arusha

    Ungekuwa kaburini leo,huu ndio owongo wenu ulivyo.
  11. M

    Lema alimpua Meya wa Arusha

    Mh Lema ameropoka kama mwendawazimu kuwa hamtambui meya wa Arusha.Hivi kiongozi kama huyu si anaweza kuiabisha nchi akipewa majukumu makubwa.Hajui kuwa mambo ya kijiweni tangu alipokuwa mbunge ndio basi.Inawezekana hata aliwahi kuwa mwizi mifukoni standi ya Arusha jinsi anavyoropoka kama vile...
  12. M

    Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

    Kwa mawazo yangu serikali iliamua kuzika ili isitokee shari zaidi wakati inajitahidi kutatua tatizo hili moja kwa moja na CDM iko pembeni kupotosha uma ili fujo iwe out of control.Sijui kwa nini,tuwaulize kwa nini CDM inataka hawa watu wa Tarime waendeleze fujo.Vifo vimeshatokea na serikali...
  13. M

    Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

    Ni chama gani ambacho kinakubali kukoselewa kama sio CCM,ni chama gani ambacho kinajali ndugu tu ndio waongoze chama kwa nafasi zote za uongozi wa taifa kupitia chama ni CDM,kwa hiyo CCM ni chama cha watanzania wote. Kwa kitu chochote au chombo chochote kuna mazuri na mabaya,kwa hiyo cha...
  14. M

    Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

    Kwa hiyo ujichukulie sheria mkononi.Sasa si umeona jinsi dola ilivyolazimika kuzuia mauaji makubwa.Police acted for they scared for their lives and they acted until the threat was over.
  15. M

    Mbunge awaficha waliofiwa Tarime

    Mimi sio kma nyie mnaojichukulia sheria mkononi.Mahakama ndio itakyomtia hatiani kama amevunja sheria.
Back
Top Bottom