Recent content by Midnights

  1. M

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Shukran sana brother mwifw nimeelewa vyema.
  2. M

    HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kaka habari. Kuna mtumishi mmoja ni Nurse aliniambia yeye alipata ajira kwa second round...nilikuwa napenda nikuulzie hili suala zima la second round lipoje...Je wanapotoa kwa mara ya kwanza je, kuna muda wanarudia kuita watu kwa mara nyingine ikiwa walioitwa hawakwenda kwa sababu mbalimbali...
  3. M

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Alikuibia mkuu? Mbona kama unamharibia biashara
  4. M

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naona wamesema umri iwe chini ya miaka 25 nishapoteza sifa
  5. M

    Ewe mwanaume, mkeo/mpenzi akikukimbia nyakati ngumu,fahamu ukweli.

    Hii ndio sababu inanisababisha kuhitaji partner na sio leech.
  6. M

    Women are trouble makers

    Umetumia mtazamo ambao ni mpana sana...
  7. M

    Kwa kila unachomfanyia mtu ujue Mungu yupo

    Muache kushambulia wenzenu
  8. M

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Huyu anatutia aibu wauguzi na wakunga. Sijui kasoma chuo gani
  9. M

    TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

    Hakuna somo linaitwa midwiferly. Midwifery. Pia course ya uuguzi ilishaunganishwa na ukunga muda mrefu. Wewe ulisoma wapi midwifery pekee?
  10. M

    Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

    Huyu mwanamama anastruggle sana kuangusha kingdom ya kiume. Akifanikiwa atapandisha jinsia ya kike pale juu
  11. M

    Leo nimekumbuka namna mpenzi/ mama wa watoto wangu alipoanza kunishinda kipato baada ya kupata kazi kila kitu kikaparaganyika

    Seems we have the common stand. Unakutana na mwanamke unamwambia mimi bado sijafanikiwa, anakwambia fanikiwa kwanza. Nikishafanikiwa sijaoa, sitahitaji ndoa
Back
Top Bottom