Ukitaka kujua anachosema bikirembwe soma kitabu kiitwacho kanisa katoliki na siasa za Tanzania humo utaona mkakati kwamba baada ya ukomonist kitu gania ambacho kina fuatia
Nafikiri watu hawataki kuamini ukweli ulivyo, hatukatai kama wachaga hawajasoma wao wamesoma zamani sana na wana uwezo katika kazi zao, tatizo wao wanatabia yaukabila anzia wizara ya fedha na taasisi zake kama tra benki kuu nakwenye benki zilizokuawa za serikali mpaka muhudumu wa ofisi pia...
jamani msimshambulie sana hapa inavyoonekana yeye na wao lao moja tumsaidieni ili aelewe anacho kisema (kama mkulo anasema pesa ni zawanya biashara sawa tuna kubali je huyo bwana atupe jibu ukihifadhi pesa benki halafu zikazaibiwa zilizo ibiwa zi zakwako au za benki) ndio maana tuna sema pesa...
Najua wamemsimamisha kwa sababu walikua hawamtaki kwasababu ana jazba, lakini hoja zake wana zikiliza? kuna madai ya kwamba 20% ya wabunge wakuteuliwa wanatoka mkoa wa kilimnjaro hilo chadema wanalijibu vipi? kuomba ruzuku kilamwenzi angalau shs 100000 ipelekwe wilayani chadema wajibu kwanza...
kupewa msamaha wakodi nikutokana na watu kuwa na mgongano wa kimaslahi kama utakumbuka kuna kigogo moja alikua bungeni kipindi kilichopita ni mmoja wa wakurugenzi wa voda alipoambiwa achague cheo chake au ukurugenzi alipiga kelele sana sasa mtu huyo ni mkubwa sana katika ccm,kuhusu magazeti...
kwa nini hizo data siuzimwage maana kama huna uthibitisho ni bora usiongee muongea pekee siku zote huwa mshindi, na wewe Dr buriani kama unaona unonewa jibu madongo hayo yatakuumiza bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.