JK amwaga vigogo sita
2008-08-23 15:43:59
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Wale vigogo wanaotuhumiwa kuchota mapesa ya umma kwa manufaa yao, waliodhani Rais Jakaya Kikwete atawakingia kifua, sasa wameula wa chuya kwani JK kawanawa kama hawajui vile.
Katika kudhihirisha kwamba hivi sasa...