Recent content by Mgodo visa

  1. Mgodo visa

    Serikali ya CCM, imewakumbatia Wachina. Huyu Operator, Mzazi wake amefariki mwezi ulopita kwa kukoswa Pesa ya Matibabu!

    Iliwahi kutokea Mkoa wa Kagera, Operator mmoja alimpiga Mchina kichwani Kwa kutumia Excavator na Kupelekea kifo. Bora huyu kaamua kuaharibu mali.
  2. Mgodo visa

    Wakati Nasoma niliwahi mkuta mzee anatumia simu yangu niliyokuwa naitumia kwa siri na kuificha sana😄

    Ulimiliki Simu mapema sana, form two. Hongera sana.
  3. Mgodo visa

    Sami Awami: Lissu ameanza maisha ya kifungo Gerezani, tayari ameshanyolewa

    Wana msemo wako watoto wa Uswshili I.. "AIBU UTAONA WEWE"..
  4. Mgodo visa

    Majaji wawili hawajasaini hukumu ya Tundu Lissu

    Isihe ikawa kulia kwake (kutoa kwake machozi) labda aliona adhabu aliyo pewa bwana Lissu ni ndogo. Hivyo akalia Kwa uchungu.
  5. Mgodo visa

    Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Pole sana ndugu.. Mungu akufanyie wepesi kuweza kusonga mbele..
  6. Mgodo visa

    Mwenye uelewa juu ya kifungo cha Tundu Lissu

    Sio jambo la kufurahia...
  7. Mgodo visa

    Maandalizi ya Rufaa ya Lissu: Nyaraka Zimekamilika na Kufailiwa, Dhamana Yake Inanukia

    Season iendelee... Tayari nimekwisha andaa mfumo wa P0PCORN (Bisi)..
  8. Mgodo visa

    BREAKING: Tundu Antipas Lissu afungwa miaka 4 kwa kosa dogo la Uchochezi

    Vipi Tena, uhaini umegeuka kuwa uchochezi... Tunaomba wajuvi wa Sheria mtusaidie...
  9. Mgodo visa

    Mahakama imemuhukumu Lissu Miaka 4 jela kwa kosa la Uchochezi

    Habari, naona siku kwangu imekuwa ndefu...
  10. Mgodo visa

    Tetemeko la ardhi limepita, nani kasikia?

    Ngoja tusubiri taarifa kutoka Kwa Mamlaka..
  11. Mgodo visa

    Nadili vipi na mwanamke anayejisikia sana?

    Huu sio Ulimwengu wa kuleteana Mapozi. Piga chini huyo angalia wengine...
  12. Mgodo visa

    Nimekutuma nyanya kwanini ulete kitunguu?

    Uungwana ni VITENDO...
Back
Top Bottom