Recent content by Mgibeon

  1. Mgibeon

    Nyakati za huzuni na simanzi kama hizi tuzitafakari kiroho... Kwanini sisi na kwanini sasa! Hukumu ya Lissu imewaliza wengi

    Kumbe kuna uwezekano kabisa kumpeleka mtu mahakamani kwa kosa A, halafu mkishindwa kumpata na hatia mnamvaragiza kwa kosa B ambalo kimsingi halikuwepo na hakuna nafasi ya kumpa ajitetee kama ilivyo ada? Leo nimejifunza somo kubwa sana kuhusu mahakama!
  2. Mgibeon

    Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Zipo nyingi ila nakushauri Nenda Erasto Cargo, Ipo Bavaria, nyuma ya Tigo(kamata), kariakoo
  3. Mgibeon

    Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

    Wewe endelea kula biriani na visinia! Acha sisi tuendelee kuchangia kodi ya Nchi.
  4. Mgibeon

    Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Astaghfirurallah... Astaghfirurallah... Astaghfirurallah kama mchanga wa bahari..Subhanaah wataallah...! Wewe unafikiri Juma na Salum wanawafundisha nini watoto waliotoka kwenye viuno vyetu! Nendeni Mars mkafanye mtakavyo ila sio hapa! Maaaninah zako.
  5. Mgibeon

    Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

    Mungu aepushie mbali kabisa.
  6. Mgibeon

    Polisi na TRA, kusanyikeni hapa!

    Unajua kundi kubwa la Wanaume ndio linafanya hizo boda na guta? Wakizuiwa wewe ndo utakua provider wa familia zao?
Back
Top Bottom