Recent content by Mganga karudisha kuku

  1. M

    Uliwahi kufuma watu wakikuteta! je ulichukua uamuzi gani?

    Katika maisha na pilikapilika za hapa na pale unaweza kufanya jambo flani la kushangaza baya au zuri watu wakawa wanakuteta je wewe ni uliwahi kukuta watu wanaokuzungumzia yani kukuteta kukusengenya? Je ulichukua uamuzi gani baada ya kuwakuta? Nawasilisha.........»
Back
Top Bottom