Recent content by mfukunyuk

  1. M

    Niliyojifunza juu ya Mungu, Pesa, Wanawake na Shetani

    Kabla ya kufikiria kuomba lazima kwanza ujue una nn. Mimi nimezaliwa na uwezo wa biashara utabibu ualim ufund usanii au ushawish/siasa, apo naenda kwa Mungu au shetan kuomba nn!?. Kumbe kubwa zaid n kufanyia kazi uwezo wangu hafu Kufeli au kufaulu kutategemea na uwezo wa akili yangu ku-operate...
  2. M

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    Ulimwengu wa siri una watu makatili sana_Wauza dawa za kulevya, wauzaji wa silara na majambazi, hawa n watu kwenye ukatili wako mbali sana. Ndo hawa polepole alivyowagundua akajitoa sadaka kuwasema kuwa wameingia kwenye siasa Ndo hawa kwenye ulimwengu wawazi tunawapa uongozi na hatima ya maisha...
  3. M

    House of Cards: Je, uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia, upo mbioni kupata anguko kubwa la kihistoria?

    Viongozi karibu wote IQ yao haitosh kabisa kuinua uchumi, kwanza n namna wanavyopatikana n kimaghumash sana na wachache wenye uwezo wanamezwa na ubinafsi ambayo n asili yetu waafrica.
  4. M

    Majini & Mapepo 👻🤔

    Kuna energy inaitwa NISHAT YA UFAHAM Bado haijulikan sana, nadhan iyo ndo inayobishaniwa sana kama ipo au haipo ila neno linalotumika n Roho, kwamba Roho ipo au haipo maana ata Mungu ndo iyo iyo Roho. Nishati hii ipo kwenye damu. Kwenye damu kuna hewa-pumzi-Uhai-Roho Pumzi ikikata mtu...
  5. M

    Waafrika/ Ngozi Nyeusi Hatujalaaniwa, Shida Ipo Hapa, Soma Kwa Umakini Mkubwa

    Historia inaonesha Nimrod bin Kush. N mkush au muafrika aliyekuwa hodar, mtawala na ndie aliyejenga miji ya Babulon Akad Ninaw Kala na Resen kwenye nchi za Shinari na Ashuru. Kwann waafrika wa mwanzo waliweza au mafuvu yao na sura zao zilikuwa tofaut na waafrika wa sasa. Mi nachojua Africa na...
  6. M

    Majini & Mapepo 👻🤔

    Umeuliza kama na amin katika Din. Jibu ni ndio na hapana, Ndio kwenye mambo ambayo wako sahih na hapana kwenye mambo wanayokosea mfano kushindwa kukielezea kitu ambacho kipo had watu wanahis hakipo. Na umeuliza izi nguvu nazozielezea nimejifunzia wap? Jibu n iman au mambo ya roho ukifundishwa...
  7. M

    Majini & Mapepo 👻🤔

    Ulimwengu una kanuni na kanun ndo zinafanya kila kitu kiwe ivi kilivyo haijalish kutakuwa na usawa, kutakuwa kunaeleweka au la. Kwenye kanuni 12 za ulimwengu, kanuni namba 10 n Polarity/Kinyume. Kinyume cha Mungu automaticaly n shetan, apo sio shetan/uasi kuumbwa bali n uumbaji kinyume chake...
  8. M

    Majini & Mapepo 👻🤔

    Din bila sayans n kiwete na sayans bila din n kipofu. Mungu n nguvu ambayo ipo ila haielezeki kisayans wala kidin labda kwa izi fani kuungana nakutafuta lugha moja itayoeleweka. Kifupi Mungu n nguvu ambayo ipo ila tunashindwa kuielezea sababu maelezo yake yanafeli kwenye nature, reality, theory...
  9. M

    Kwanini Bikra Maria anatumika kuwaombea wakatoliki wakati alishakufa?

    Tukifa tunaenda Mbingun au Rohon, Mbingun iliyogawika sehem tatu; 1.Jehanam au moton_Wanaenda wenye dhambi kubwa yaan za kudhamiria au makusudi 2.Kuzim_Wanaenda wasiostahili moton wala pepon ivyo siku ya mwisho wanaweza kupata msamaha wa Pepon au wakapata hukum ya Moton. 3.Pepon_Wanaenda...
  10. M

    Kesi ya Kamati ya Mawakili dhidi ya Mwabukusi Kajunjumele yapigwa stop

    Uongozi n akili pesa na nguvu. Nadhan kinachokosekana sana kwa uongozi wa sasa n akili ndo sababu kuu yakushndwa kuongoza.
  11. M

    Wahenga; ishini nao kwa akili!

    "Wake watiin waume zenu nanyi waume wapenden wake zenu". Mwanamke anapenda ulichonacho, japo yeye anahis anakupenda wewe kumbe n kile ulichonacho na ukikipoteza umempoteza, humpat ata kwa kubembeleza sana. Wanaume tumeumbiwa upendo sababu upendo ndo nguvu pekee yenye uwezo wakukusukuma umpe...
  12. M

    Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Mtu akisomea anakuwa na weledi. Kilichofanywa au utendaji wa police n kama wahun tu wa mtaan wanapewaga magwanda nakuwa askari. Maana Oct 29 n kama wagonjwa wa akili wa milembe walipewa siraha, wakavalishwa magwanda ya askari nakuambiwa "aya nenden mkazuie maandamo kwa kumimina risasi ovyo...
  13. M

    Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mi naona kumtetea Yuda n rahis kuliko kumtetea Mbowe. Yuda alibadilika mwishon ila Mbowe sijui tumpe jina gan maana n zaid ya Yuda. Mbowe maisha yake yote alikuwa n CCM aliyevaa ngozi ya CDM. Najiuliza aliwezaje miaka yote iyo, nagundua mwanasiasa n muigizaji hodari kushnda ata Kanumba.
  14. M

    Hivi kwanini tuliambiwa wanawake tuishi nao kwa AKILI...?

    Couple ya mwanamke na mwanaume haijawah kumatch sababu izi n pande mbili tofaut zinazotofautiana pakubwa sana mfano mwanamke sifa zake kuu n mvuto, hisia, ubunifu na huruma. Mwanaume sifa zake kuu n mantiki/Akili, mamlaka, ujasiri, usawa na uthubutu. Izi sifa ukizioanisha zinakataa yaan wakiish...
  15. M

    Ile kafara ya YESU KRISTO ilienda kwa nani? MUNGU AU SHETANI?

    Namna mchakato wa Mungu dhid ya shetan ulivyo mrefu ndo inafanya watu wamkubali shetan au watilie shaka uwezo wa Mungu kwamba kwann hii vita inadum namna hii! ilianza kabla ata ya binadam kuumbwa na ipo tu had leo na haijulikan itaisha lin; kama n vita bas n Israel na Palestina😂. Apo ndo...
Back
Top Bottom