Recent content by Mfilisiti

  1. Mfilisiti

    Kama unapost kila kitu kinaendelea kwenye maisha yako kwenye social media Bado hujakua/komaa kiakili

    Ikiwa mtu yeyote akifanyacho kwake havunji sheria basi na afanye! NB: Punguzeni ushauri, kila mtu ni mara yake ya kwanza kuishi kwenye hii Dunia.
  2. Mfilisiti

    Usidanganyike, si kila mtu pengo lake linaweza kuzibika

    Shida ya binadamu wengi ni upendo wa maigizo, Kulazimisha upendo anaoutoa kwa mwenza wake basi na yeye arudishiwe upendo ule ule na kwa kipimo kile kile
  3. Mfilisiti

    Kipi kilikufanya uamini Mungu yupo au hayupo?

    Kwamba kuna siku utafufuliwa ukiwa hata fuvu limeshaisha kwa kuoza(kufa) then uchomwe moto au uende peponi. Hakuna bwana mimi sio mjinga.
  4. Mfilisiti

    Wanaume Wenzangu mnawezaje kudeal na wanawake walevi?

    Kwahiyo mwanetu ulivyo mpima ukamkuta mzima ndo ikawa tiketi ya kumuamini nakumpitisha. Unasitahili kuokotewa mawe.
  5. Mfilisiti

    2026 FIFA World Cup - Special Thread

    wakuu tumeni link, kwamba hakuna anaye stream? Scars uran
  6. Mfilisiti

    2026 FIFA World Cup - Special Thread

    mkuu tupia link
  7. Mfilisiti

    Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

    Kama ni hivo si hata wa kununua wapo? Kuipata Threesome wa kienyeji ambaye hajatumia hata mvinyo sio swala dogo.
  8. Mfilisiti

    Ambao tunakesha leo - karibu hapa tuzogoe ☺️

    Briefly 1: Rangi nyeusi, any time any day. 3: Threesome. Hii ni dhambi ninayo itamani. Aibu utaona wewe😎
  9. Mfilisiti

    Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    Mhaini😂 hujambo? Hopefully uko poa now
  10. Mfilisiti

    Tuambie wallet yako ina kitu gani hapo?

    sema hata nyie wanawake umasikini wenu (ukilema) hua hamuutambui kabisa. in short mnajizima data
  11. Mfilisiti

    Vifo vilivyoniumiza JF

    R.I.P Mpauko, huyu member amenifanya nijue mwanaume hadi jamii ijue kuwa ulikuwa unayapitia ni hadi pale hilo tatizo litakupeleka either kaburini. Hakuna anaye jali mapito ya mwanaume ambaye hana uhakika wa kula kesho.
  12. Mfilisiti

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Binti unadai risiti hadi kwa Wafilisiti?
  13. Mfilisiti

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    naye akasitarehe siku ya saba
Back
Top Bottom