Hakuna wa kumuweza Lissu mkuu, weka tume huru isiyoingiliwa na dola asubuhi na mapema Lissu atakuwa Chamwino na CCM itabaki kwenye makabrasha ya ''kulikuwa na chama'' jinsi siku zinavyosonga ndio mbomboga inazidi kuzama, kilichobaki kwa mbogamboga ni kutiana hofu na mamo mengine ya kikatili,hata...
Usiwe mpumbavu tulimsikia mwenyewe mara baada ya kuapishwa tu akisema lazima wamkamate Mange na watatafuta njia zozote za kisheria kumkamata , sasa wewe ndugu sijui unakanusha kitu gani.
Msigwa aliondoka Chadema si kwa kupenda, aliondoka kutokana na figisu za aliyekuwa mwenyekiti na Sugu katika kupanga safu ya watu wake Mwenyekiti alimpachika sugu na kumuondoa msigwa kwa hila kwani alijua Msigwa ni timu ya TAL. Mwenyekiti wa zamani hakutaka kuondoka kwenye uenyekiti pamoja na...
Kama hawa ambao wamekuwa wakubwa serikalini wanajengewa mahekalu kwa kodi za walala hoi na sembuse iwe kwa kina Lissu, mpaka anastaafu Mwalimu Nyerere hakuwa na nyumba ya maana kule kijijni kwao hadi akajengewa na serikali bure, hata hao wengine wamejengewa na serikali bure hebu tuambie nani ana...
Kule Butiama baba wa taifa alijengewa nyumba pamoja na kuwa raisi, na hawa wengine wamepewa na serikali na wengine walijiuzia sasa wanachoshanga ni upumbavu tu, hata Lupaso ni kwa kawaida tu sembuse kwa mwananchi tu wa kawaida? akina Lissu ni wananchi tu wa kawaida ,si mafisadi halafu nyumba...
Kijana wa Ifoza andiko lako kama kawaida yako ni la kiuweledi haswa na umemamliza kila kitu asante sana na tumuombee Lissu, hizi mahakama zetu zimeonyesha rangi yake, na kwa kweli hatutamsahau jaji Nduguru na wenzake. Hii hukumu imenishangaza sana.
Huyu mpumbavu,mandela alifungwa zaidi ya miaka 30 sembuse hiyo minne, uzuri wake Tundu Lissu kaonyesha jinsi mahakama zetu zinavoendeshwa na atatoka na nguvu zaidi, Lissu yupo mioyoni mwetu, kaweka Legacy.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.