Recent content by Methodist94

  1. Methodist94

    JWTZ: Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi

    Sisi hatuaminiki tena,na tumaini lililokua limebaki kwa wananchi ni wao lakini wao eti wanatupongeza Sisi Tena duh so 😭
  2. Methodist94

    JWTZ: Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi

    Kiukweli Mimi mwenyewe nimesikitika sana.Hawa jamaa hawataaminika tena
  3. Methodist94

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    😀😀😀😀😀😀😀
  4. Methodist94

    JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Dogo hujui kitu ,siku ulijua utashangaa sana
  5. Methodist94

    JWTZ, nyie ndo walinzi wa Katiba, tuambieni mnasimama wapi?

    Pumbavu zako,nyie ndio misukule isio na tija katika taifa.Sijui uliwezaje kuwa mtanzania kilaza kama wewe.So Bora ungezaliwa msumbiji uko
  6. Methodist94

    Huyu hapa Ofisa wa Magereza aliyemfokea Lissu Mahakamani na kuzua Mzozo

    Yaani katika watu wapumbavu ni nyie wabongo sasa iyo kitu kupost huku itasaidia nin? Yaani kutwa kulalamika huku mitandao ni na kumjaza kichwa lisu nae anajua ana watu nyuma lakini watu wenyewe ni woga kama kunguru,pumbavu zenu mwisho waoga hawata ulithi ufalme wa mbinguni mama mitano Tena
  7. Methodist94

    Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

    Kwanza umetunga mkuu,Mimi Huwa napenda sana mahojiano lakini hakuna staff sergeant mwenye pf 29 .
  8. Methodist94

    PreGE2025 Lissu anasafirishwa kuelekea Central Dar es Salaam

    S Sijui inakusaidia nin? Kupata pesa na kila kitu huku binadamu mwenzako akiendelea kuteseka.CCm mwisho wenu unakuja.Hakuna kitu kinachodumu milele,majira na nyakati hubadilika .Ipo siku itakuja dhahama ndani ya ccm na mtashangaa
  9. Methodist94

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Hakuna watu wapumbavu,maskini,na wasio jitambua kama watanzania .Any man can make mistakes, but only an idiot persists in his error
  10. Methodist94

    Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Ila wapo wanasiasa wanaotamani watanzania waendelee kuwa maskini wakutupwa,njaa Kali na kuacha Mali zao na utajili wa nchi Yao utumike kuwanufainya watu furani tu na wao kuendelea kuwa maskini wa kutupwa.Acha ujinga na upumbavu hizi laana za watanzania hazitawaacha nyie salama kabisa kwasababu...
  11. Methodist94

    PreGE2025 Ukitaka kujua CCM haifai na inatakiwa kuondolewa madarakani, tembelea nchi nyingine

    Hawa jamaa ni vichwa wazi,Ukitaka kuelewa anachoongea mtoa mada kweli nenda nchi za nje ,Mimi nipo india aiseee utapenda jinsi serikali na wanachi wa India walivyojenga uchumi wao ,nikwamba pesa ya India mpaka shilingi Moja yaani Moja unatumika vizuri yaani wanathamini pesa Yako kuliko chochote...
Back
Top Bottom