Recent content by Mercenary Army

  1. Mercenary Army

    Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    Mkuu,diploma na degree wote ambao hatujakamilisha ada tulizuiliwa kufanya masomo yote yanayotuhusu,ni huzuni mno😥
  2. Mercenary Army

    Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    mkuu,hatujakataa kulipa,pia elewa mada tafadhali,hiyo control number ya ada yenyewe Ina expire mwezi wa 10 mwaka huu,we unadhani kwanini hiyo control number walipeleka hadi mwezi wa 10 iwe expired?
  3. Mercenary Army

    Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

    WanaJF salamu, Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma...
  4. Mercenary Army

    Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    🤣🤣Mkuu wanasema et fools gold au iron sulfide,hayana hela kabisa
  5. Mercenary Army

    Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    Mkuu shukran sana kwa mchango,,vp Yana thamani yoyote?
  6. Mercenary Army

    Haya ni madini gani? Au ni mawe tu ya kawaida maana yametoka Mererani

    Kwa ushahidi zaidi napost video za hayo madini,ushauri wenu wakuu
  7. Mercenary Army

    Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Mradi wenyewe ulikuwa na upendeleo tu,,,ili kupata nafasi ilibidi uwe na kadi ya uvccm bila hvo hutoboi
  8. Mercenary Army

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

    WEWE ni MPUMBAVU grade 1 🚮🚮🚮,,,wewe na yeye wote nyie ni nyara
Back
Top Bottom