Recent content by Medecin

  1. Medecin

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Nikifa taarifa zangu zitakuja tu humu maana wapo wanaonijua
  2. Medecin

    Bi Farida na bi Rukia

    Haivutii
  3. Medecin

    Mtanzania aharibu mali za Bosi wake Mchina baada ya kutolipwa mshahara

    Waliorekodi na kurusha mtandaoni ndio wajinga, wamelifanya jambo kuwa kubwa
  4. Medecin

    Mabasi ya Usiku: Visa nilivyo kutana navyo!

    Siku zote najua we ni wa kiume kumbe dem!
  5. Medecin

    Teknolojia inaweza kukutajirisha leo, lakini ikakusaliti na kuua biashara yako kesho (Tukumbushane enzi za VHS hadi 5G)

    Yote huko umepita ila AI ndio mwisho wa matatizo, imagination to reality
  6. Medecin

    Kuvaa nguo za kawaida na kujirudia licha ya kuwa na uwezo mzuri kifedha, huu ni ukomavu wa akili au ubahili?

    Mimi kuanzia mwaka huu niliamua kuvaa nguo za aina moja tu, nimenunua suruali jeans 10 na tshirt polo 12 zote zinafanana kwa asilimia mia,nazirudia hizohizo. Hata ukiniona baada ya wiki kadhaa mbele unaweza kudhani navaa nguo moja, nipo huru sana na inanifanya nisipoteze muda katika kuchagua...
  7. Medecin

    ASAS Energies Kununua Biashara ya Gesi ya Oryx Energies Tanzania

    Kikwete huyo kwa mgongo wa ASAS
  8. Medecin

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    We niuzie hivyohivyo mkuu ntapambana nalo mwenyewe
  9. Medecin

    Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

    Sina zaidi mkuu, asante
  10. Medecin

    Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

    Elfu 50 ipo mfuko wa shati, kama uko tayari nipm tumalize
  11. Medecin

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Ni aina gani ya trekta mkuu, kama vipi tuongee uniuzie kama ilivyo ntatengeneza mwenyewe
Back
Top Bottom