Recent content by Mdau1000

  1. M

    Update : Mgogoro wa wakulima na wafugaji Tunduru

    Askari wa Jeshi la polisi kituo Cha Tunduru, Festo Jonathan Mathias amefariki jana Nov 8/2026 kwa kuchomwa mkuki na wafugaji wa jamii ya kimang'ati katika eneo la mto msinjewe.
  2. M

    Tunduru - Mjadala kuhusu Mgogoro wa wakulima na Wafugaji.

    MJADALA WA WAZI MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI WILAYANI TUNDURU - TUTAENDELEA KUPOTEZA MAISHA HADI LINI? Muda ni kuanzia saa 8:30 09/11/2026 Fuatilia mjadala huu kupitia link hapo juu
  3. M

    Komesha mauji ya wakulima Tunduru

    Tunaiomba serikali kukomesha mauaji yanayofanywa na wafuagaji katika wilaya ya Tunduru #Tunduru bila mauaji inawezekana
  4. M

    Madiwani Tunduru wapinga mpango wa Rais Samia kubana matumizi hasa kipindi hiki cha uhaba wa mafuta

    Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa. Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo. Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
  5. M

    Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.Inaelezwa kuwa migogoro binafsi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Amesimamia baada ya kusikia kilio cha wadau na mkuu wa shule amerejeshwa katika nafasi yake Kwasababu ni ubuni tu ulitumika
  6. M

    Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.Inaelezwa kuwa migogoro binafsi

    HABARI MPYA NI KWAMBA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU AMESHUGHULIKIA NA MKUU WA SHULE ANAENDELEA NA MAJUKUMU YAKE YA KAWAIDA
  7. M

    Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.Inaelezwa kuwa migogoro binafsi

    Edited mkuu Ipo Tunduru mkoa wa Ruvuma Sakata ni kwamba viongozi wa eneo hilo wamekuwa na kasumba ya kutoa kiholela wakuu wa shule pindi wanapo ona masirahi yao binafsi yanaingiliwa, Kuna mradi wa upanuzi wa shule unatarajiwa kuanza kwaiyo wao wanasafisha njia mapema, lakini pia hiyo kadhia...
  8. M

    Mkuu wa Shule ya Msingi Nakayaya asimamishwa kuwa Mkuu wa shule hiyo bila sababu yoyote ya Msingi.Inaelezwa kuwa migogoro binafsi

    Hapana Bali kuna posho inaongezeka 😂😂😂 Tatizo sio mshahara bali kasumba ambazo viongozi wa eneo hilo wanayo kwa muda mfupi wanabadilisha wakuu washule Inaonekana wanatafuta yule ambaye atasapoti upigaji wao
Back
Top Bottom