Mimi inaenda mwezi wa pili, nimepimia kituo cha mkombo, wilaya ya Kalambo mkoa wa Rukwa. Najilaumu sana kuwauzia mahindi bola ningeuza mtaani tu japo kwa hasara ila sio kwa mateso haya ninayopitia.
Halafu familia ya Mo ikatoa tamko lao, mwamba akaonekana roporopo. Haji anamaisha ya kujipendekeza sana kwa mabosi ndiomana kumtetea inakuwa kazi sana, kauli zake zinapingana na kesho hauwezi jua atakuwa upande upi.
Asante my dada, nimeanza kuiogopa tanzania, acha nibakie huku huku Sumbawanga vijijini niendelee kushika jembe. Huo mtandao wa sembe naona kama haugusiki, huu mtandao umeniumiza sana moyo wangu ila na sisi vijana tamaa tumeweka mbele na kazi hatutaki kufanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.