Dah, hii inanikumbusha wakati wa vita ya Wahutu na watusi Burundi miaka ya 90. Jamaa walichukua pesa kisha wakazungusha kwenye <bomu wakatengeneza kama burungutu la pesa halafu wakaenda kutega shuleni. Wnafunzi walipotoka kwa ajili ya mapumziko wanakutana na kifurushi cha noti wakaanza...
Tatizo la watumishi wa umma lilianzia pale Nyerere na wenzake walipoamua kutunga sheria iwe ni ngumu sana kumfukuza mtumishi wa Umma kazini. Kwenye Hotuba yake moja Nyerere anasema " Unajua tulifanya hivi kwa vile huyu mtu ana watoto , ana Mke sasa ukimfukuza kazi ataishije na anategemewa...
Lakini bado haikupi mamlaka ya kuharibu mali ya mwajiri. Nenda Labour ( Idara ya Kazi) wapo ndio kazi yao, Peleka madai yako huyo mwajiri akione cha mtema kuni. Haya ameharibu mali ndio fedha amelipwa au ndio katengeneza janga jipya?
Haya mambo yanahitaji Imani.Wanachofanya TMA ni kupiga Ramli hivyo na nyie wananchi inabidi muwe na Imani vinginevyo ndio kama hivi, mmekosa imani na el nino haijatokea. Next time wakitabiri zidisheni Imani
Hii el Nino ndio ilisababisha bus la No Challenge baadae wakajiita Tashriff lililokuwa likitoka Dar kwenda Tanga kusombwa na maji lilipojaribu kuvuka daraja lililofunikwa na maji na kusababisha watu wote zaidi ya mia waliojazana kwenye bus hilo kupoteza maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.