Biopsy mara mbil ndugu imechukuliwa,,,,niko dar ndugu na tuliishia nkafanye ct-scan sema gharama ndio najichanga,,,hospital ni kubwa tu hapa mjin ila sidhan kama itifaki itaruhusu kuitaja,,,bado napambana ndio maana nikafikia kushare humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante,,h pylori na OGD kipi kinatoa majibu sahih ya uwepo wa ulcers??
Mara nying napima nakutwa nao napewa dawa wanapotea nikipima tena hao h pylori.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasalam wadau,
Nina tatizo la kuumwa tumbo muda wote iwe nimekula au sijala.
Lilianza mwaka 2009,nilipoenda hospital nikafanya kipimo kinaitwa barium meal nikaelezwa nina vidonda vya tumbo,nikapewa dawa lakini hazikusaidia,nikahamia tiba mbadala haikusaidia.
Mwaka huu nimefanya kipimo cha OGD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.