Mwenzangu, mimina mboga kwa wingi. Kaa mbali na starch kama viazi, ugali, chapati, mikate kwa wiki tatu.
Mboga zako tia pilipili kwa wingi na jiepushe na mafuta. Kama wataka kukaanga, tumia mafuta ya alizeti. Usisahau kunywa maji glass 8 kwa siku ili uondoe uchafu mwilini.
Mbona utajisahau...