Recent content by Mbweni

  1. M

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Acha uzushi , mbona zipo zinaonekana.nyie ndo wale mnapenda kuchafua kazi za watu
  2. M

    BBC-HardTalk: Chachu iliyokolezwa na mpango mkakati wa mwaka 2020

    Kwa kweli nakupa 100% kwa kunyoosha watu maana walikuja kiunafiki.
  3. M

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Acha mambo ya ajabu, kama anauwezo wa kulipia chumba na kumywesha huyo malay* wake kwa nini asinunue condom? acheni tabia za kupiga domo chapa kazi .
  4. M

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    kweli mkuu maana kuna watu hata malalamiko yao huwa hayaeleweki, kama yule chizi mmmoja mwaka jana alilalamika bei ya chakula hasa hasa unga umepanda sana 3000 per KG , juzi juzi anatoka tena analalamika bei ya vyakula imeshuka bei sana kilo ya unga ni sh 1000. sasa hapo utaelewaje alafu huyo...
  5. M

    Kwa anayemfahamu Hassan Mpambije, tajiri wa Sengerema tuwasiliane

    Atahama vipi wakati umeshasema ni tajiri wa sengerema? acha mbwembwe kijana unaonekana wewe ni ziro brain.
  6. M

    Nimemwacha kwangu toka asubuhi, kila kitu kiko ndani, nimerudi muda huu yaani hajapika anangalia maisha magic bongo!

    Sasa na wewe ni zumbukuku, umeleta mishikaki alafu umekuta msosi hakuna kwa nini usile hiyo mishikaki mwenyewe, wakati mwingine unapenda na ukiona hivyo jua pia unachapiwa maana huyo demu ameshakuona wewe ni fala .
  7. M

    Dstv sio wema kuwa makini

    Nakubaliana na wewe mkuu, kwenye customer care DSTV wako vizuri sana
  8. M

    Makosa ya Joseph Mbilinyi(Sugu) ni ya kawaida sana kwenye siasa za vyama vingi, ni busara tu ndiyo inahitajika

    Nashukuru sana kuwaeleza hawa mavuvuzera, maana matusi yamewakaa mdomoni sasa sheria inafata mkondo wake wanakabaki kulia.
  9. M

    Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Naona shule na vyuo vimefungwa sasa tutakuwa na maswali ya ajabu
  10. M

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    Sasa kulikuwa kuna haja ya kutoa povu? kama unajua unasema tu watu waelewe, DON kaelezea kengi kama kuna mengine kasahu au kakosea ilikuwa ni kuongeza maelezo tu sasa unakuja na mipasho ya taarabu hapa
  11. M

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    hako kajamaa ni ka zezeta mkuu kasikuumize kichwa kwanza angalia jina analotumia ni michosho Mkuu utaumia bure kubishana na hawa tahira
  12. M

    Hivi gesi yetu inayochimbwa Mtwara inatumika wapi?

    Mkuu hongera kwa kuwaelewasha hawa viben 10, maana upeo wao wa kufikili ni mdogo sana , vikisha kula msosi , vikapewa na VITS kuzunguka nayo mjini, vikaekewa na vocha basi kuwa inakuwa shida sana humu ndani . vina majibu ya kunya , vinaropoka . Ila hata kuwelezee vipi huwa havikosi majibu , kwa...
  13. M

    Hivi kwa bongo mtu kumiliki gari na kuwa na kitambi ndiyo tafsiri ya kufanikiwa kimaisha?

    Unaonekana unawivu wa kike ,kwa nini usiseme kitambi ukasema kakitambi ? pambana na hali yako
  14. M

    Fiesta Dar ni Utapeli Mkubwa

    Hata kama show ilikuwa ya kipuuzi unataka tusifie? hakuna kitu bora ningebaki home nicheck mpira.
Back
Top Bottom