Recent content by Mbuli yaza

  1. M

    Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    kwamba max Mello hawajui maofisa wa serikali? msigwa acha mzaha.
  2. M

    Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    hampendi haki,ukabila kivipi?,ukanda Kwa maana gani,mwizi ukimzuia kuiba lzm atakuona hufai,ndiyo maana tuliona maajabu wakati wake hatujawahi ona.
  3. M

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    kweli inasikitisha sana lkn Kwa kuwa Lisu alijeruhiwa sana lzm Kuna watu walitaka kumuua, kama taarifa hii ni ya uongo basi tupe habari za kweli.
  4. M

    Tetesi: 2030 Rais ni Nchimbi na Waziri Mkuu ni Ridhiwani

    kwenye hicho kikao Chao huenda MUNGU ni mjumbe!
  5. M

    Inawezakana kuurudisha upendo wa miaka ya Nyerere?

    hiyo siyo sababu,miaka mingi imepita, viongozi ndio tatizo la nchi hii.
  6. M

    Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

    Kuna siyo masista lkn hawana watoto hapo unafanyaje?
  7. M

    Mzee Kikwete: Mzigo wa Ujenzi wa SGR Umebebwa na Rais Samia

    mswahili zaidi ujinga na maneno ya dharau mnaweza Nini?
  8. M

    Dk Muchunguzi: Mwaka 2020 Polepole alisimamia mgombea mmoja CCM, waliotaka kugombea walifukuzwa

    hapo ndipo madokta wetu wanafeli kwamba asiseme Leo kwa kuwa Jana hakusema daktari muchunguzi unaona sawa hiyo?.
Back
Top Bottom