Recent content by mbotoro kivoi

  1. mbotoro kivoi

    Rafiki wa Mume wangu............

    Inasikitisha sana
  2. mbotoro kivoi

    Nissan patrol y60

    Old is good
  3. mbotoro kivoi

    Ufunguzi wa akili: Kutoka chombo kitupu hadi kufikiri kwa uhuru

    Allow your mind to think independently without outside force✅✅✅
  4. mbotoro kivoi

    Marekani tayari imeshaanza kuitandika Iran!

    Mashambulizi dhidi ya Iran ni ukiukaji wa wazi wa mamlaka na usalama wa taifa Marekani inapaswa kuwajibika kwa hatua zake chini ya sheria za kimataifa....
  5. mbotoro kivoi

    Waziri Mkuu Abiy awapeleka Mawaziri na Viongozi wa Serikali mafunzo ya kijeshi

    Nidhamu ya kijeshi ni muhimu lakini Ethiopia inahitaji zaidi utulivu wa kisiasa, umoja wa kitaifa na taasisi imara ili kufikia maendeleo
  6. mbotoro kivoi

    Marekani inaweza kuivamia Iran kwa silaha za nyuklia ndani ya siku chache

    Hakuna taifa lenye haki ya kutumia nguvu za kijeshi kulazimisha matakwa yake kwa jingine. Iran ina haki ya kulinda mamlaka yake suluhisho ni diplomasia, si vitisho vya nyuklia.
  7. mbotoro kivoi

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    Kujua historia si kukariri upande unaoupenda ni kuchambua ukweli Dini imechangia baadhi ya migogoro lakini kudai 97% ya vita zimesababishwa na dini bila ushahidi ni kupotosha historia. Tofautisha ukweli na mihemko. 😂
  8. mbotoro kivoi

    KANISA KATOLIKI walimpenyezea Nyerere taarifa kuwa TISS na Polisi wameua, maiti zimebwagwa BUGANDO, vyeti vya vifo ni feki!

    Kanisa Katoliki lilikuwa sauti ya dhamiri na haki za binadamu hata katika nyakati ngumu za historia ya Tanganyika. Ujasiri huo haupaswi kusahaulika
Back
Top Bottom