Recent content by MBORROW

  1. M

    Start by mborrow

    Ndugu zangu ni wpi serikali inatupeleka hasa sisi watoto wa mkulima wa kilimo cha kujikim? kuna uhalli wowote kwa mwanafunz yeyote aliyeko chuo kikuun tena aliyechaguliwa na tcu leo hii mwanafunz huyun atengwe naa kubaguliwa kwa kukosa sifa ambazo pia hazijaanishwa...
  2. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    jamani mmeona yalioyotokea huko igunga? kweli yametokea kwa mapenzi ya watanzania ama ni urasimu uliokidhiri tu?
  3. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    hatujali uwepo wa watu zaidi haki imetendeka?
  4. M

    Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

    ndugu wameunda itifaki na kusahau haki
  5. M

    Bodi bodi.... Bodi jamani

    Hivi jamani watanzania utaratibu huu wa mpya wa bodi unakidhi haja ya wanavyuo?
  6. M

    Katiba imevunjwa???

    jitaid kupata ufunbuz wa jambo mja ndo tujadili lingine
  7. M

    Serikali yatangaza kiama kwa wapenda migomo vyuoni

    Katiba imevunjwa??? Hivi kwa MoU kati ya wakristo na serikali "serikali imevunja katiba ibara 19 inayosema .."serikali haina dini......na shughuli za kuendesha taasisi za dini zitakuwa nje ya serikali...." Je..fedha hizo za umma zilizotolewa zimeshafanyiwa auditing na auditor wa serikali...
  8. M

    Serikali yatangaza kiama kwa wapenda migomo vyuoni

    ndugu hili swala ni kutokana na mfumo tulionao tu ndio unaosababisha hayo yote na njia mojawapo ya kubadilisha hayayote ni kuepukana na huu mfumo na sera mbovu zilizopo. kwa sauti yao ni ndogo sana mbele ya uma wa watanzania ama wanavyuo ambao leo ni wasomi tena wa elimu ya...
  9. M

    Postgraduate Diploma inaitwaje kwalugha yetu?

    PIA JITAIDI KUFUTILIA KVIPINDI MBALIMBALI VYA KISW KTK  VYOMBO VYA HABARI MF TBC, RADIO ONE NK.
  10. M

    Postgraduate Diploma inaitwaje kwalugha yetu?

    Pia jitaidi kufutilia kvipindi mbalimbali vya kisw ktk vyombo vya habari mf tbc, radio one nk.
  11. M

    Postgraduate Diploma inaitwaje kwalugha yetu?

    Ndugu ni maswala ya lugha hayo swala hili kwa wana jf ni dogo sana, ushauri tafuta kwenye kamusi ya kisw.
Back
Top Bottom