Kama ni hivyo basi waislam watakuwa na haki ya kukataa kuimbishwa mwimbo wa taifa maana ni ibada kwa wakristo (refer chuo kidogo cha sala), sasa unadhani kuna atakaye baki salama hapo? Lazima tukubaliane pasipo kukubaliana.
Hv zaidi ya miaka 50 walikuwa wapi kupinga kula nyama zilizo chinjwa na waislam hadi leo wanataka kupambana kwa ajili ya jambo hili!!
Lazima waumini wa kikristo waliangalie kwa jicho la pili hili suala ,huenda wakawa wanatumiwa kwa maslahi ya watu flani chini ya mwamvuli wa dini.
nyinyi si ndio mnasemaga JK ni Mdini na kudai haya yanatokea kwa sababu yake, sasa na mimi nimekupa mfano wa mauaji ya mwembe chai wakati mkapa akiwa raisi.
Kama una imani na polisi subiri wafanye uchunguzi kubainisha mauaji ya padri na kuhusika kwa shk Ilunga. Mimi nasimamia haki sio matashi ya...
Walipo uawa waislam mwembechai na sheikh bashiri kupigwa risasi ya mguu mkapa kwa kejeli alisema hawezi kuunda tume kwa sababu walio uawa ni wahuni.
Sasa jiulize wewe wahuni wanahaki ya kuuawa nchi hii !!
Na hao mapadri wala hawa kupaza sauti kuikemea serikali , nashangaa unapotoka povu wakati...
Wanasiasa wamemjibu mwanasiasa wa madhabahuni,
Hata mkapa alishawahi kuwajibu mashekhe kuwa hawezi kuunda tume kwa sababu walio uawa mwembe chai ni wahuni(maana wahuni sio binadamu kwa tafsiri nyingine).
"What goes around comes around"
Alianza mnyika na maandamano ya maji baada ya kupigwa biti yakasitishwa sasa mzee mzima nae naona anafyata japo kwa shingo upande. Lakini naona yote ni maamuzi ya busara kuliko wafuasi wenu kwenda lupango mwaka mmoja.
TAYADI tumeshuhudia wakina shekhe ponda na farid mpaka leo wamekosa dhamana siamini kama unachokisema kina ukweli wowote, the point is Lwakatare alikuwa ana operate kama yeye au chini ya mwamvuli wa chadema ? uhalifu ni uhalifu tu uwe umefanywa na muislam au mkristo.
Nashangaa kuona watu wana mpinga Pasco kwa kusema video ya lwakatare ni genuine and at the same time wao wanataka tuamini kuwa video imetengenezwa kwa vigezo vyao ili hali na wao hawana ujuzi ktk video foreinsic.
Kama tunataka haki itendeke tuliachie jeshi la polisi limuhoji lwakatare juu ya...
Sioni sababu serikali kutoa mishipa ya shingo kukomalia kuhesabu watu kilazima , wakati wameshindwa kutumia nguvu hizo kulazimisha watu kushiriki chaguzi za serikali kuu ambazo ndio muhimili wa kutuletea maendeleo kwa kupata viongozi imara, wasafi na makini kuliko hiki kichuguu cha sensa...
waislamu hawana shida ya wakatoliki kutoa idadi yao kwa kuwa inawezekana wamehesabiana makanisani lakini kutoa na idadi ya waislamu hiyo sensa waliifanya lini au kuna makarani wao misikitini ? kama sio kutiana vidole vya macho kwa makusudi kumbe ni nini ?
embu soma hii link halafu uniambie kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.