Propoganda za upinzani HEWA katika nchi yetu unatia huruma kwa watu makini. Saivi mnatengeneza gape kubwa kati yenu(viongozi wakubwa) na wafuasi wa upinzani huku chini. JIPANGENI, MSIROPOKE ROPOKE TU VITU.....!
Mimi nasema ukweli wote toka moyoni. NAKUUNGA MKONO PASCO! Upinzani umenichosha kabisa sasa. Kila siku sisi tu ndo tunategwa na kuingia mtogoni kama MAZUZU! ccm ina strong system na kama tunataka kuwaondoa lazima kwanza tukubali hilo, kisha tuwena mikakati madhubuti yenye uhalisia kuwakabili...
Kaka! Uko serious kweli? Mshindani mwenzako akipe nafasi sawa yakushindana nae? Haya ni mapambano, ukiingia ulingoni na mtizamo kwamba adui sometimes atakuwa anakupa offer nawewe upige moja kwakuwa amekupiga tatu mfululizo....ni hakili za ajabu mno! Siasa ni ujanja, ubunifu etc. Unategwa na kitu...
Wow! I love this. Hapa umekuwa wazi tena zaidi. Kulingana na maelezo yako haya, kumbe genetics tulizorith ndo kilakitu kuformulate itelligence ya mtu. Mazingira hayana mchango wowote ktk formation ya intelligence. Kazi ya mazingira ni kuexpose kile ambacho kipo kwenye store tayari...the same to...
Ni ili baadae huyu huyu mnyonge asije akarudi kulia njaa baada ya kuuza mahindi yote kwa bei ya kutupa kwa wajanja. Au hujui tabia ya wakulima maskini, wakivuna wanajisahau!
Lkn pia serikali haikukataza kuuza nje unga...kuuza mahind km yalivyo ni hasara kubwa kwa taifa ujue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.