Recent content by MBEYAILEMBO

  1. MBEYAILEMBO

    TFDA imara yenye watendaji Makini ni muhimu

    Hakukua na tija yeyote ya kuhamisha udhibiti wa chakula na vipodozi kutoka TFDA kwenda TBS, zaidi zaidi tu wametengeneza loopholes kibao za wapigaji Kwa sababu ya uwezo mdogo wa TBS kwenye area hio.
  2. MBEYAILEMBO

    Ajali yaua ndugu watano wakitoka msibani Mbeya

    Punguza ujuaji basi duuh umekazana majina ya Moshi majina ya Moshi kwa taarifa yako sasa, huku mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje kuna eneo linaitwa kwa Mboya wala hawana uhusiano wowote na KLM achilia mbali hiyo kulowea uliyong'ang'ania. Badae utasema hata yule Tom Mboya wa Kenya nae ni mchaga.
  3. MBEYAILEMBO

    Naona kama 2021 Millard Ayo atazidiwa sana na SNS

    Ongea kwa facts lete figures badala ya maneno matupu.
  4. MBEYAILEMBO

    Naona kama 2021 Millard Ayo atazidiwa sana na SNS

    Acha viroja hapa tunazungumzia Millard Ayo na Sns nimekuletea takwimu ya kila kitu umeanza kuruka ruka kama Malaya.
  5. MBEYAILEMBO

    Naona kama 2021 Millard Ayo atazidiwa sana na SNS

    Sio kweli angalia screenshot hizo mzee za SNS na Millard ayo compare hizo takwimu afu uendelee kuargue tena.
  6. MBEYAILEMBO

    Naona kama 2021 Millard Ayo atazidiwa sana na SNS

    Hujui unachokisema angalia trend ya subscription toka 2018 kwa YouTube channels zote ndo uje ulete hizo ngojera zako hapa.
  7. MBEYAILEMBO

    Sababu ya Siasa: Biashara Kariakoo zinakufa kisa kuwapenda na kuwakumbatia machinga

    Naona ndo kawaida yako kuchezea libolo fc.
  8. MBEYAILEMBO

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wakuu msaada tutani nahitaji wimbo wa Nash mc ft Nikki Mbishi- Adimu mwenye nao aupakie hapa tuupate wana.
  9. MBEYAILEMBO

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Teh teh unafurahia CCM kujigawia kura yenyewe we jamaa kichwa maji kweli yani kituo hakina wakala afu unaka kusifia.
Back
Top Bottom