Recent content by mbegubora29

  1. mbegubora29

    Je ni sahihi familia kuwa na Account moja ya kuhifadhia fedha?

    HA ha ha ha yaaan kuna ufala hata kuuwaza kijana wa kiume hatakiwi kuwaza kbs sasa mipango ya miaka 50 itajuwaje kwa vijana kama hawa wapumbavu hiviii wewe wajibika kwa mshahara lea familia kwa kile ukichojaaliwa na mke akiweka au akikupa kwa mapenz kula wala usirud nyuma ile neno pamoja acha...
  2. mbegubora29

    Chondechonde ndugu zanguni wanajukwaaa!?

    Mie ni me,nipo 40 plus,Tarehe 5 mwezi novemba nafukuzwa kwenye nyumba ya watu,na nina familia na mama yangu mzazi amekuja kunisalimia lkn hali ya maisha imegeuka chap kutokana na mishe kuwa ngumu ndugu zangun! Naombeni na atakayeguswa anivushe kwa alichojaaliwa mungu atamlipa jmn!
  3. mbegubora29

    Naswali kwa waislam🤪

    Hii nd Io din pekeee ya kimaumbile
  4. mbegubora29

    Naswali kwa waislam🤪

    ACha ukafiri sasa mbona unaumia na din sio yako
  5. mbegubora29

    Muda wowote Israeli wanamuua Kiongozi wa Iran hivyo nae kaamua Kuteua Mrithi wake na Wengineo katika Jeshi la Iran

    Makafir wamekutana sasa yaan vichwa panzi kbs mnafurahia watu wanakufa jmn
  6. mbegubora29

    Maisha ya wasanii ni ya kisanii sana. Pole Wastara

    Kuna shida mahala pia mbona wengi wanakufa kwa kukosa uwezo je thaman zao ni ndogo ukilinganisha na wengine au?
  7. mbegubora29

    PreGE2025 Mwl. Steven Jacob aliyedaiwa kutekwa na watu wasiyojulikana apatikana Kilimanjaro akiwa amepigwa

    Kuna kaujinga fulan hivi ka wananchi wachache na wazembe kimapinduzi huna nguvu huna pesa huna dola hlf unanyoosha mdomo mwisho jnaanza kutia huruma aisee ebu ifike mahala mjitfakar wanaharakati wetu mtapotea kwa ujinga
  8. mbegubora29

    Utawala hatari na wenye nguvu duniani

    Tuwe na subira na tusubir mpaka pale tutakapo kuwa na nguvu
  9. mbegubora29

    Utawala hatari na wenye nguvu duniani

    Salaam zenu wanaJF, Historia inatufundisha hakuna utawala hatr na wa kutisha kama wa firaun lakini bado watu wake hawakuandamana walisubir mpaka pale muumba wao alipowanusuru Unajua kwasabb gani? 1. Waliamini yupo aliowaumba ipo siku atawanusuru 2. Nguvu yao ndogo hawawezi kupigana na mtawala...
  10. mbegubora29

    Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

    We ndo unataka dalili shekhe? Nimekupata lkn unaangalia nan unaongea naye?
  11. mbegubora29

    Mchanganuo wa mshahara mpya wa TZS 500 000 kwa mtumishi mwenye mke na mtoto mchanga/toddler

    We jamaaa unaleta taharuki tuu maisha ayako hivyooo unavyohan umetumia akili saana kubabadua
Back
Top Bottom