Of course SERIKALI NI WATU.
SO huna haja ya kuogopa kama jambo lako ni jema na lenye kuleta matunda kwa taifa...
Nothing impossible under the SUN
NEVER GIVE UP[emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Etiii mpaka kizazi chote tufeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna kaka usiamini sana kwenye kushindwa ...
Kwani babu alisema kwenye RIZIKI hapakosi FITINA....
Na mti wenye MATUNDA ndio hutupiwa MAWE.....
SO kama una project yako fanya kwa uhuru na ufuate taratibu...
Huwa najiulizagu tu shida ipogo wapi..
Mfano..
Injini zipo.
Chasiss zipo..
Gearbox zipo..
Diff zipo ..
Spring,shockup na vikorokoro vya chini vyote vipo
Material ya kutengeneza body yapooo..
TUNAKWAMA WAPI KUTENGEZA GARI JAPO KWA KUUNGAUNGA ( ASSEMBLE )
Kwenye nia kuna njia mzee baba ...
Inawezekana tu ila uwe mvumilivu na mfuatiaji kupata..
mfano unaweza pata gari mbovu au chakavu pindi wanapoleta gari nyingine mpya hasa kwenye mashirika yale ya kimataifa eg. UNHCR,UN n.k..
Pengine ni kwenye taasisi mbalimbali za GOV kwenye yard zao zipogo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.