Recent content by mbedegalo mbeka

  1. M

    CCM: Chama changu semeni kwa nini hatutaki tume huru ya uchaguzi

    Uchaguzi ukiwa huru na haki green team inaenda kibra mapema
  2. M

    Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

    Broo punguza makasiriko .. Wewe unabiashara gani yakukuweka front kama icon ya kibiashara..
  3. M

    Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Hawa siyo wapinzani. Ni walamba asali tu
  4. M

    HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Yeriko unafirisika kifkra vibaya sana.. Uharisho gani unaandika.. Shida ya wachambuzi wasiasa kutokusoma siasa
  5. M

    Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Another strong neck carrying hollow head
  6. M

    Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Wakishaomba wakapata ndo bei ya chakula inashuka??
  7. M

    Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Lisu unachobugi unamchafua mwendazake . Aliyeko madarakani kwa sasa ni Samia... Hapo unajihangaikia tu
  8. M

    Ni wakati sasa Nape Nnauye kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Moja ya aibu za taifa hili ni bwana nepi
  9. M

    Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti

    Kuna shida kwenye ubongo wawatanzania. Lisiporushwa live mnakosoa. Likirushwa live mnakosoa. Basi shaurini livunjwe
Back
Top Bottom