Ukweli ni kwamba mwanaume anapotoa shahawa;
1.huko ndiko uliko utajiri wako
2.huko ndiko chemichemi yako hapa duniani
3.ukizitumia vizuri hapa duniani na sehemu sahihi ndio unaona anatokea mtu duniani!
[28] Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha...
Biblia imelijibu hili swali lako Mwanzo 1:26 RSUVDC
[26] Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi.
https://bible.com/bible/2937/gen.1.26.RSUVDC
Kwa kujibu wa maandiko matakatifu yaitwayo biblia, ukisoma mwanzo 1:26-27,28Mwanzo 1:26-28 RSUVDC
[26] Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila kiumbe kitambaacho juu ya nchi. [27]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.