Recent content by mbarbaig

  1. M

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Toyota Prado 2010 dollar ngapi cif
  2. M

    Hali yazidi kuwa tete escrow, hapatoshi Dodoma

    Hata mtoto wa kike ana aibu kidogo...grow up!
  3. M

    Sakata la IPTL na ESCROW: Kafulila aanza kuumbuka, sasa kusambaza umeme MW 2000 Kenya

    hivi unajisikiaje na uongo wako ulioanzisha hapa...nimekudharau I thought you are smart than this...hii ndio inaonyesha aina ya mtu ulivyo....
  4. M

    Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

    Kwanini azuiwe jamani...? Lets be fair..kama katiba inamkataza sawa lakini sio mtu anakuja na mawazo fulani asiingie siasa no way...hata akiwa nani katiba kwanza mambo binafsi baadae...
  5. M

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Brother ulipotelea wapi?? watu wakajaribu kukuiga lakini hawawezi...thanks
  6. M

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    watu bana mnaletewa kutoka mahakamani mnajifanya hamtaki kujua huku mnasoma mkiomba upande wako ushinde...Yericko hata kama Chadema wewe kikubwa pata facts na outcome ya ruling...period..mengine umbea
  7. M

    Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

    wakitupatia no. ya grenade tunaweza saidia kujua consignment hiyo initially iliuzwa wapi...kwasababu namba iliyoko kwenye bomb can be tracked kupitia manufacturer....kama huko mbele lilipelekwa kwa watu wengine itajulikana tu sema kama lilififika mikononi mwa wapiganaji wa nchi nyingine wa...
  8. M

    Wenje ajikosha bungeni!

    Ningekuelewa kama ungetoa data za matokeo mara ya mwisho na sasa then unge analyse percentage wise kama kuna increase au hakuna na uzingatie miaka 3 iliyopita. Then ufanye projection bada ya kupata hiyo rate uone remaining two years itaweza fika ngapi...you or Wenje can be right but wewe...
  9. M

    Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

    kigangwalah 40% + Ze wife 11% + 49%????????= mhhhhhh!!!! nani huyu 49%??????
  10. M

    Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Yaani vurugu zote, hela yote ya umma iliyotumika kosa lenyewe ndio hili? pinch me please labda naota....
  11. M

    VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

    nimesikitishwa na RC kushindwa kujua jinsi ya ku manage group psychology....
Back
Top Bottom